Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Basi sawaWewe ndio huna maendeleo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi sawaWewe ndio huna maendeleo
Mkuu nothing personal, uzalendo ni juitoa hiyo mijizi ambayp CAG KAISEMA sio hivi vitu vya praise team hapa mkuu , jana nlikuwa namsikia mtu anasema wezi ni wana ccm na kuna ccm vijana sijui cwt na vitu kama hivyo na wamepewa hivyo vyeo na mwenyekiti wa ccm, ikitokea wameiba mbona wanaruka ruka kuwashushia nyundo ya adhabu? Badala yake wanakuja tena kutuuliza sisi wafanyaje ? Hauoni kama huo mfumo ni wa kipuuzi ? Hii nchi inahitaji kuwa reformed. Juz ccm imepitisha sheria ya kuwalipa malaya wa viongozi kwa maslai ya nani mkuu ? Why walipwe ? We mke wako analipwa kwasababu we unafanya kazi fulan ? Why hukuja hapa kupinga upuuz ule ? Badala yake mnakuja kusifu upuuz hapa, yan nchi hata umeme ni tatizo lakin mnakunya na upuuz wenu hapa kusifusifu mnajikomba nini kwa wezi hao ?Silipwi kwa ajili ya kuandika hapa jukwaani na wala sijawahi kulipwa kwa kazi ya kuandika hapa.mimi nafanya kazi ya kizalendo na siyo kama wewe unavyowaza na kujaribu kupotosha hapa jukwaani kwa mapengo yako Binafsi.
Jaribu kutumia lugha za kiungwana na hekima nasiyo lugha za kidhalilishaji .unaanzia wapi kuita wake wa marais malaya?Mkuu nothing personal, uzalendo ni juitoa hiyo mijizi ambayp CAG KAISEMA sio hivi vitu vya praise team hapa mkuu , jana nlikuwa namsikia mtu anasema wezi ni wana ccm na kuna ccm vijana sijui cwt na vitu kama hivyo na wamepewa hivyo vyeo na mwenyekiti wa ccm, ikitokea wameiba mbona wanaruka ruka kuwashushia nyundo ya adhabu? Badala yake wanakuja tena kutuuliza sisi wafanyaje ? Hauoni kama huo mfumo ni wa kipuuzi ? Hii nchi inahitaji kuwa reformed. Juz ccm imepitisha sheria ya kuwalipa malaya wa viongozi kwa maslai ya nani mkuu ? Why walipwe ? We mke wako analipwa kwasababu we unafanya kazi fulan ? Why hukuja hapa kupinga upuuz ule ? Badala yake mnakuja kusifu upuuz hapa, yan nchi hata umeme ni tatizo lakin mnakunya na upuuz wenu hapa kusifusifu mnajikomba nini kwa wezi hao ?
Wewe wake zao sawa wanalipwa kwasababu gani mkuu ? Why ? Wakati posho tu za marais ni kubwa ? Yan umlipe mama salma wakati tayari ni mbunge afsa ebu nieleze nielewe. Shule zinatosha ? Dawa hospitali zimetosha ? Infrastructure, vitabu ? Ebu tueleweshaneJaribu kutumia lugha za kiungwana na hekima nasiyo lugha za kidhalilishaji .unaanzia wapi kuita wake wa marais malaya?
Hilo haliwezekani hata kidogoWaangalie wasije uza Bala letu lote Kwa Mwarabu
Utakufa mapema sana Kwa stress,Rais wa Kenya yupo,wa Rwanda yupo just Kwa uchache kutoka huku EACMkutano upo leo mchana, so far kufikia asubuhi hii wameshawasili watatu.
Wa Sudan, Wa Nigeria na huyu dalali wa fremu, nyumba, vyumba, viwanja, mashamba na mapori tengefu.
Andika tu vizuri OAC🤙Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania,mama wa shoka,chuma cha reli, jasiri muongoza njia,shujaa wa Afrika,simba wa nyika amewasili salama nchini saudi Arabia ambako atashiriki mkutano unaozikutanisha nchi za Afrika na Saudi Arabia utakao fanyika November 10 mjini Riyadh,unaoangazia kujadili masuala mbalimbali ya ushirikiano katika sekta za biashara,kilimo,utalii,nishati,uwekezaji na madini.
Ikumbukwe na kueleweka ya kuwa mikutano ya aina hii ni muhimu kwa kuwa inawakutanisha wafanyabishara na wawekezaji wakubwa sana katika Secta hizo tajwa,ambapo ni fursa nzuri kwetu kama Taifa kupata wawekezaji wenye tija na manufaa kwa maslahi mapana ya Taifa letu na ustawi wa watanzania.
Ikumbukwe kuwa fursa zinatafutwa na kila mtu ,hivyo ukikaa tu pasipo kuzitafuta na kuzivutia nchini mwako usifikiri zitakuja tu zenyewe kana kwamba Tanzania tupo pekee yetu au tunavitu vya kipekee ambavyo havipo kwingineko. Ni kupitia fursa hizo ambapo tutatengeneza fursa za ajira kwa vijana, maendeleo ya viwanda,kilimo,utalii, uchumi,kuongeza mapato na kupanua wigo wa kodi.
Hakuna nchi isiyotaka au kuhitaji wawekezaji wakubwa.kila nchi inahitaji wawekezaji na ndio maana tuna ona kila nchi ikijaribu kuweka sera na sheria zitakazovutia wawekezaji wengi ,huku ikilinda na kuhakikishia kuwa wawekezaji wanaokuja ni wenye tija ,kwa kusaini mikataba yenye matokeo chanya yenye kuzingatia maslahi ya Taifa na usalama wake,yenye kuzingatia utamaduni wetu na uwekezaji usio pora uhuru wa Taifa letu lakini ambayo haitaliumiza Taifa wala kuleta maumivu kwa kizazi cha sasa na kizazi kijacho .
Kikubwa watanzania tuendelee kuchangamkia fursa ambazo mh Rais anazileta hapa Nchini.lakini pia serikali yetu ihakikishe ya kuwa kila itakapoweka wino wake kusaini mkataba wa aina yoyote ile basi uwe ni mkataba ambao hata vizazi vijavyo baada ya miaka mingi mbele vikija kuusoma vitikise kichwa kwa Tabasamu na kusema kuwa kwa hakika mkataba huu ulisainiwa na wazalendo wa kweli na wenye upendo na Taifa letu na haya ndio matunda yake.
Serikali ihakikishe kwa kila namna wafanyabiashara wetu hapa nchini wanapata nafasi ya kushirikiana na wawekezaji wa nje ili hata siku wageni wakitaka kuondoka basi tusiteteleke na tubakiwe na ujuzi na maarifa ya namna ya uendeshaji.tuzoe fursa zote popote pale Duniani zenye kulifaidisha Taifa na zile zenye kulinyonya Taifa tuziache na kuzipa kisogo.
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
0742-676627.
Matokeo ya Ziara ya Rais USAMkuu nothing personal, uzalendo ni juitoa hiyo mijizi ambayp CAG KAISEMA sio hivi vitu vya praise team hapa mkuu , jana nlikuwa namsikia mtu anasema wezi ni wana ccm na kuna ccm vijana sijui cwt na vitu kama hivyo na wamepewa hivyo vyeo na mwenyekiti wa ccm, ikitokea wameiba mbona wanaruka ruka kuwashushia nyundo ya adhabu? Badala yake wanakuja tena kutuuliza sisi wafanyaje ? Hauoni kama huo mfumo ni wa kipuuzi ? Hii nchi inahitaji kuwa reformed. Juz ccm imepitisha sheria ya kuwalipa malaya wa viongozi kwa maslai ya nani mkuu ? Why walipwe ? We mke wako analipwa kwasababu we unafanya kazi fulan ? Why hukuja hapa kupinga upuuz ule ? Badala yake mnakuja kusifu upuuz hapa, yan nchi hata umeme ni tatizo lakin mnakunya na upuuz wenu hapa kusifusifu mnajikomba nini kwa wezi hao ?
Sijakuelewa vizuri mkuu.kwanza karibu sana maana wewe ni mtu mzito sana na michango yako na maandiko yako huwa nasoma neno kwa neno mstari kwa mstari maana najuwa wewe siyo kama mimi .wewe upo mbele yangu kwa kila kitu.Andika tu vizuri OAC🤙
Mkuu utayaua haya manyumbu na hoja zako nzito nzitoUtakufa mapema sana Kwa stress,Rais wa Kenya yupo,wa Rwanda yupo just Kwa uchache kutoka huku EAC
Acha porojo ndugu yangu.Rais wetu ni mzalendo na mchapa kazi na mwenye dhamira njema kwa Taifa letu.Mikataba mingine haiji tena kweli?
rostitamu na abdul choinde, mmeshatupiga sana!
Mkuu yanatoka moyoni hayo au ni protoko??Rais samia ni mama shupavu,madhubuti na imara sana
Ndio yanatoka ndani ya moyo wangu.Mkuu yanatoka moyoni hayo au ni protoko??
Ujue tupo nae humu JF kila siku.
Kama yanatoka moyoni basi CCM tunajivunia vijana kama nyie
Namba yako nimeiona mdogo wanguNdio yanatoka ndani ya moyo wangu.
Urais ni Taasisi kubwa sana. Fursa zinatafutwa na siyo kukufuata kwako ukiwa umebweteka tu. Rais wetu anatutafutia fursa za uchumi na nijukumu letu watanzania kuchangamkia fursa hizo .Anafanyia Kazi angani
Vitu vyote Duniani vyenye mafanikio na vilivyofanywa vizuri ni vile vilivyofanywa na mioyo ya kujitolea isiyotanguliza maslahi binafsi au kuhitaji malipo au fadhila.kazi yangu ni kuuzungumza ukweli na siyo kuandika kwa ajili ya kuhitaji malipo au fadhila.kama hilo ndilo lingekuwa lengo kuu basi ningekuwa nimekataa tamaa na kupotea kabisa huku jukwaani .Huyu mchizi bado hajalamba shavu? Siyo kwa uchawa huu