Rais Samia awasilisha Hati ya dharura Bungeni

Miss Zomboko

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
4,599
Reaction score
9,532
Spika Ndugai ametangaza mabadiliko madogo ya ratiba ya vikao vya Bunge ambayo yametokana na Muswada wa Hati ya dharura kutoka kwa Rais Samia ambapo amepeleka mapendekezo ya mabadiliko ya sheria ambayo mojawapo wataangalia sheria ya tozo ya kodi ya mazao ambayo anataka iondolewe.

Kamati ya Bunge ya Bajeti ilipitisha sheria inayoruhusu Mamlaka ya Mapato Nchini (TRA) kuanza kutoza ushuru wa bidhaa wa asilimia mbili kwa mazao nchini.
 
Wakati ana saini alikuwa amesinzia? Mwingulu atammaliza huyu bibi
 
Hivi hizi sheria zilitungwa na bunge la Chaema au ndio hili hili la mazuzu??
 
Tozo hizo zilipitishwa na Bunge la Chadema kwakuwa sasa hawapo na lao halipo, hivyo wanaziondoa.
Mpigieni makofi mengi mama msikivu, mbona sisikii!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…