Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Alipora uchaguzi na akautangazia uma bila aibu wala soni usoni kuwa amepora uchaguzi👇Hahahahaaa.. SSH hajaiba kura mkuu, msubirie 2025-2030-2035 ndiyo tuone tutamtathminije kwenye usalama/ulinzi wa kura. By the way, Mbowe aliishasema CDM haitagombea, sasa hao waliobaki wanamuweza mama kweli ukipiga hesabu vzr mkuu?