Rais Samia awasilisha Hati ya dharura Bungeni

Rais Samia awasilisha Hati ya dharura Bungeni

Kwa nchi kama Tanzania na bunge letu lilivyo, inawezekana hiyo hoja ikapingwa?

Nilivyosoma tozo nikatabasamu nilikua sijamalizia kwenye mazao...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].....watu humu Jf sometimes mnaifanya siku yangu angalau ichangamke.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].....watu humu Jf sometimes mnaifanya siku yangu angalau ichangamke.

We acha tu, harakaharaka nijenga picha ntakavyochukua kadi ya kijani na kuwa kada
 
Kuna kakicheko Fulani kalimtoka spika alipokuwa anawasilisha hoja hiyo.Meza zilikuwa zinapigwa huku yeye anacheka peke yake
Inamaana walikoitosha kwa kushangilia juzi kati ndiyo haohao wanashangilia kuondolewa leo?
 
Hivi hizi sheria zilitungwa na bunge la Chaema au ndio hili hili la mazuzu??
Inatia hasira sana. Yaani waliolipwa fedha ndefu wakafanya makosa kwenye kupitisha sheria mbovu. Leo tena wanaongezewa muda wa kukaa Mjengoni huku wakipiga Fedha zaidi eti kujadili makosa yao wenyewe! Nchi ya Wadanganyika.
 
Hiyo sheria alipitisha mungu wenu wa Chatttle, Rais wa Sasa kwakuwa muungwana,sheria zote kandamizi zakuwaumiza wananchi anazipiga chini,

Sasa unavyosema Mwigulu atammaliza ammalizaje kilaza wewe!!
Hahaha, una vichekesho vitamu balaa. Hivi tozo ya miamala yenyewe ilitungwa na mungu wao au na mungu wako?
 
Huko nchi ya ushelisheli unatengeneza sheria mbaya ya tozo kisha unaiondoa kwa hati ya dharura bungeni ili uonekane kuwa ni Rais bora kwa wananchi kumbe ni Paka pori fulani tu ambalo limepata urais kwa zali.
 
Spika Ndugai ametangaza mabadiliko madogo ya ratiba ya vikao vya Bunge ambayo yametokana na Muswada wa Hati ya dharura kutoka kwa Rais Samia ambapo amepeleka mapendekezo ya mabadiliko ya sheria ambayo mojawapo wataangalia sheria ya tozo ya kodi ya mazao ambayo anataka iondolewe.

Kamati ya Bunge ya Bajeti ilipitisha sheria inayoruhusu Mamlaka ya Mapato Nchini (TRA) kuanza kutoza ushuru wa bidhaa wa asilimia mbili kwa mazao nchini.
Magufuli mungu akulaze mahala.pema. ulichokifanya kimeonekana wazi kuwa kuna haja kubwa sana ya kuwa na hitaji la katiba mpya. Ulijaza Wabunge wako ambao hawakuchaguliwa na wananchi ndio maana wanayafanya haya.
 
Ili mchakato uende haraka wananchi wafaidi
Matunda ya serikali makini,
Baada ya kuwa waliteleza
Mchakato wa nini? Maendeleo au?

Anyway ngoja niamini kwamba ni mchakato wa maendeleo.
Sasa kama ni mchakato wa maendeleo mbona hakuna tofauti ya Myahudi na Myunani? JPM si ndiyo alikuwa anasisitiza mchakato wa haraka haraka wa maendeleo ambao ndiyo ulikuja kutafsirika kama ni udikteta, upigaji, mabavu, maonevu, uvunjifu wa sheria... SSH alipoingia akapindua meza kwa kusisitiza uzingatiaji wa sheria za nchi, sasa tena leo tumebadilika tunarudi kwenye chorus ile ile ya JPM; kwa kupeleka hati ya dharura Bungeni ya kutaka mchakato uende haraka haraka? Baghosha!

JPM Fast-track Slogans:
1. Ni heri ufanye haraka ukosee kuliko kutofanya kabisa au kuchelewa kufanya maamuzi/utekelezaji Magufuli, J.P.
2. Muda hautusubiri! Wananchi wanataka matokeo/maendeleo Magufuli, J.P.
3. Tusipofanya leo nani atakuja kufanya? Magufuli, J.P.
4. Kazi ifanyike usiku na mchana ili kukabidhi mradi ndani ya muda wa mkataba Magufuli, J.P.
5. Natoa siku 7 Shule ya Msingi King'ong'o ikamilike Magufuli, J.P.
5. Natoa nyongeza ya muda hadi Disemba mradi wa Machinjio ya kisasa ya Vingunguti ukamilike, hakuna muda wa nyongeza
ehiiiii.... Magufuli, J.P

Nukuu zisizo rasmi.
 
Back
Top Bottom