Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Tanzania kuna Bunge??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].....watu humu Jf sometimes mnaifanya siku yangu angalau ichangamke.Kwa nchi kama Tanzania na bunge letu lilivyo, inawezekana hiyo hoja ikapingwa?
Nilivyosoma tozo nikatabasamu nilikua sijamalizia kwenye mazao...
Yanakera mno haya majuha...As if sio the same people waliopitisha hii kitu..... yanakeraaaaa
Maajabu ya Dunia. Tanganyika haina Rais ila nchi inaenda.Tunataka rais wa Tanganyika yetu
Ili mchakato uende haraka wananchi wafaidiKumradhi wakuu, hati ya dharura ya nini? Mmeniacha njiapanda!
[emoji23][emoji23] ulijua kwenye miamala imekula kwako
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].....watu humu Jf sometimes mnaifanya siku yangu angalau ichangamke.
AstaghfirullahNa magufuli!
Inamaana walikoitosha kwa kushangilia juzi kati ndiyo haohao wanashangilia kuondolewa leo?Kuna kakicheko Fulani kalimtoka spika alipokuwa anawasilisha hoja hiyo.Meza zilikuwa zinapigwa huku yeye anacheka peke yake
Inatia hasira sana. Yaani waliolipwa fedha ndefu wakafanya makosa kwenye kupitisha sheria mbovu. Leo tena wanaongezewa muda wa kukaa Mjengoni huku wakipiga Fedha zaidi eti kujadili makosa yao wenyewe! Nchi ya Wadanganyika.Hivi hizi sheria zilitungwa na bunge la Chaema au ndio hili hili la mazuzu??
Ilikua inatozwa wapi , maana mimi muuza mahindi nalipata ushuru tuTozo ya mazao, sio tozo ya miamala. Huea hamsoni kabisa?
Hii wizara itawashinda wengi sana, yule mkomao tulikuwa tunamwambia kila siku, punguza vifurushi , akituona mabwege.. [emoji847]Waziri wa mawasiliano yupo wapi jamani.
"BANDO LA WIKI UNATUMIA MASAA"?
Hahaha, una vichekesho vitamu balaa. Hivi tozo ya miamala yenyewe ilitungwa na mungu wao au na mungu wako?Hiyo sheria alipitisha mungu wenu wa Chatttle, Rais wa Sasa kwakuwa muungwana,sheria zote kandamizi zakuwaumiza wananchi anazipiga chini,
Sasa unavyosema Mwigulu atammaliza ammalizaje kilaza wewe!!
Niungane na weweTunataka rais wa Tanganyika yetu
Magufuli mungu akulaze mahala.pema. ulichokifanya kimeonekana wazi kuwa kuna haja kubwa sana ya kuwa na hitaji la katiba mpya. Ulijaza Wabunge wako ambao hawakuchaguliwa na wananchi ndio maana wanayafanya haya.Spika Ndugai ametangaza mabadiliko madogo ya ratiba ya vikao vya Bunge ambayo yametokana na Muswada wa Hati ya dharura kutoka kwa Rais Samia ambapo amepeleka mapendekezo ya mabadiliko ya sheria ambayo mojawapo wataangalia sheria ya tozo ya kodi ya mazao ambayo anataka iondolewe.
Kamati ya Bunge ya Bajeti ilipitisha sheria inayoruhusu Mamlaka ya Mapato Nchini (TRA) kuanza kutoza ushuru wa bidhaa wa asilimia mbili kwa mazao nchini.
Wanapoteza muda tu, utadhani wakati wanasaini walikua wamelewaKwa nchi kama Tanzania na bunge letu lilivyo, inawezekana hiyo hoja ikapingwa?
Nilivyosoma tozo nikatabasamu nilikua sijamalizia kwenye mazao...
Mchakato wa nini? Maendeleo au?Ili mchakato uende haraka wananchi wafaidi
Matunda ya serikali makini,
Baada ya kuwa waliteleza
Mazuzu huwa hawajitambui.As if sio the same people waliopitisha hii kitu..... yanakeraaaaa