beth
JF-Expert Member
- Aug 19, 2012
- 3,880
- 6,368
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewataka Viongozi kusaidia utatuzi wa matatizo yanayowakabili Wananchi akisema, "Haipendezi changamoto inatatuliwa, ukija tena changamoto ile ile ipo"
Ameeleza hayo akiwa Kilimanjaro ambapo amezindua Barabara ya lami ya Sanya Juu - Elerai. Rais yupo Mkoani humo kwa ziara ya kikazi
Akizungumza na wananchi amesema, "Naona mabango mengi. Kuna migogoro ya ardhi na ya maslahi ya wafanyakazi. Maafisa wangu wakusanye yote tutayafanyia kazi"