Rais Samia awataka wadau wa mfumo wa Haki kuzingatia Sheria

Rais Samia awataka wadau wa mfumo wa Haki kuzingatia Sheria

Mwenye hiyo MORAL AUTHORITY ni nani?

Mbowe?

Endelea kuufukuza upepo mkuu.

#SiempreJMT
Kama kumtetea Rais wetu ni kwa njia hii ya ushabiki wa kisiasa nchi yetu haitaendelea. Morals ni kitu binafsi wacha anayeambiwa ajipime.
 
Huyu maza aanze na Hashim Issa Juma Mwenyekiti wa baraza la wazee chadema
atendewe haki kwani anachofanyiwa sasahivi sio haki
 
Hasemi ukweli huyo. Kauli zake na matendo yake ni tofauti kabisa. Kumbuka uongo wake kuhusu vibrant democracy nchini na uwepo wa haki za binadamu. Tumeona hivi karibuni hata jogging inabidi uwe na maccm!!!

Ukiona hadi Rais aongee ndipo sheria izingatiwe, ujuwe katiba yetu mbovu kupitiliza.
 
Back
Top Bottom