PETER THE ROCK
JF-Expert Member
- Feb 17, 2014
- 528
- 807
Kama kumtetea Rais wetu ni kwa njia hii ya ushabiki wa kisiasa nchi yetu haitaendelea. Morals ni kitu binafsi wacha anayeambiwa ajipime.Mwenye hiyo MORAL AUTHORITY ni nani?
Mbowe?
Endelea kuufukuza upepo mkuu.
#SiempreJMT
Argumentum ad hominemKibaka wa wizi wa kura hawezi kuwa na moral authority ya kuwaambia watu kuwa watende haki.Chief Hagaya alipora uchaguzi.Ni kibaka wa wizi wa kura.
Haya.Hana moral authority ya kutoa kauli hiyo.
View attachment 1965292
Anajiona yupo juu ya vitabu vyoote vilivyo andikwa na mwanadamuAanze kwanzaa yeye kuzingatia sheria
Bila katiba tuliyo nayo kwa sasa ujue ccm isingekuwepo madarakani.Ukiona hadi Rais aongee ndipo sheria izingatiwe, ujuwe katiba yetu mbovu kupitiliza.
Uvccm ndiyo kichaka cha propaganda mfuHaki ipi hiyo, wadau gani hao, policcm?
Ukisikia unafiki ndio huu.
Wanamcheleweshea tu muda wake maana hawana kioengele cha kumtia hatiani.Wewe tenda haki kwanza kwa Mbowe! Vinginevyo ni blaa blaa
Ukiona hadi Rais aongee ndipo sheria izingatiwe, ujuwe katiba yetu mbovu kupitiliza.
Bibi mbovu kama niniAnajiona yupo juu ya vitabu vyoote vilivyo andikwa na mwanadamu
Kashindwa mapema sana na hatukutegemaBibi mbovu kama nini