Rais Samia awataka Wazanzibari kutunza Mila na Desturi zao. Wamaasai hawahusiki?

Rais Samia awataka Wazanzibari kutunza Mila na Desturi zao. Wamaasai hawahusiki?

Anataka Mila za Kizimkazi zitunzwe ila anapenda kuona Mila za Wamasai zinapitea, ikumbukwe kabila la masai ndo kabila pekee Tz linalotunza Mila zao toka enzi za mababu na mabibi zetu.
Sijui kwa nini huyu mama amejitenga sana na Wamasai !!!
Wamasai siyo ndugu zake
 
Back
Top Bottom