Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Wamasai siyo ndugu zakeAnataka Mila za Kizimkazi zitunzwe ila anapenda kuona Mila za Wamasai zinapitea, ikumbukwe kabila la masai ndo kabila pekee Tz linalotunza Mila zao toka enzi za mababu na mabibi zetu.
Sijui kwa nini huyu mama amejitenga sana na Wamasai !!!