Rais Samia awatakia heri wanafunzi wa Kidato cha Nne wanaoanza mitihani yao leo Novemba 11, 2024

Kila mmoja avune alichopanda, kusiwe na muujiza.
 
Weewe umesikia wapi?
 
Huu sio mwandiko wao Samia
 
hapo anawatakia kheri wapiga kura wake,hao watoto waliandikishwa kwa wingi na wahuni wa ccm kushiriki uchaguzi serikali za mitaa
 
Amiin.
 
Nabubujika tu hapa
 
Wanyaha siku zote ni machawa akili kichwani ya kufikiria huwa hawana nimefanya kazi huko wajingawajinga tu
 
Rais wa JMT Mh Dr Samia amewatumia Salam za kheri ya Mitihani Wanafunzi wa kidato cha 4

Rais Samia ametuma salaam hizo Leo ambapo Mitihani inaanza na Asubuhi hii wanafanya mtihani wa Geography na Mchana Biology

Mungu wa mbinguni mbariki Rais Samia


Mungu wa mbinguni awabariki Wanafunzi wa kidato Cha 4

Ahsanteni sana 😀🌹
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…