Mbona kama umepanic bibi π€£π€£π€£Wewe ndiye mwenye kushika simu zake, au siyo?
Bwashee hii ni Dunia ya teknolojia πBwashee ni vizuri ungelijibu swali kwanza ndipo ukauliza
Kaonekana kwa macho ya nyama ?
Wako na paper ya Geography muda huuMwaka ushaisha kumbe kidato cha nne wameanza mitihani kumbe
Utakuwa Mchawi weweAdmin wa hii tweter yuko shapu sana.
Hata Rais anapokuwa ana afya nzuri huwa haposti kwa wingi namna hii.
Ugua pole na upone upesi.
Ni jambo jema kwa mfariji Mkuu wa NchiNdugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan, amewatakia heri wanafunzi wote kidato cha nne Nchini kwote wanaoanza mitihani yao hii leo.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
View attachment 3149130View attachment 3149131
Kivepe hebu fungukaNabubujika tu hapa
Ni Lucas Mwashambwa msemaji wake japo hatuambii aliko.Hivi yeye ndio anashika simu na ku post?Tumia fuvu lako vizuri
Kwa nini wanawaanzishia mitihani jiwe,kwani civics hakuna siku hizi!?Rais wa JMT Mh Dr Samia amewatumia Salam za kheri ya Mitihani Wanafunzi wa kidato cha 4
Rais Samia ametuma salaam hizo Leo ambapo Mitihani inaanza na Asubuhi hii wanafanya mtihani wa Geography na Mchana Biology
Mungu wa mbinguni mbariki Rais Samia
Mungu wa mbinguni awabariki Wanafunzi wa kidato Cha 4
Ahsanteni sana ππΉ
Nani kakwambia naishi Tanga? Mtu akisema johnthebaptist anaishi Cuba utakubali? π π π π π πKuishi Tanga kumekufanya uwe Mchawi kabisa
We mchagga Bure Kabisa πΌ
Cuba niliishi kitambo na akina Adam Malima πππNani kakwambia naishi Tanga? Mtu akisema johnthebaptist anaishi Cuba utakubali? π π π π π π
Wewe ni kidato cha 4?Naona wanatuzuga kimtindo
Admin wa hiyo page ya Samia anajichabganya Sana
Una uhakika ni yeye?Rais wa JMT Mh Dr Samia amewatumia Salam za kheri ya Mitihani Wanafunzi wa kidato cha 4
Rais Samia ametuma salaam hizo Leo ambapo Mitihani inaanza na Asubuhi hii wanafanya mtihani wa Geography na Mchana Biology
Mungu wa mbinguni mbariki Rais Samia
Mungu wa mbinguni awabariki Wanafunzi wa kidato Cha 4
Ahsanteni sana ππΉ
Kwa furahaKivepe hebu funguka
" Ni Yeye" Tundu Lisu au? πΌUna uhakika ni yeye?