Ego is the Enemy
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 8,201
- 16,246
Ninacho kiwaza kuhusu Tanzania naona tutatumbuana kwa miaka mingne minne kama ile mitano iliyo pita ilikuwa ni kutumbuana tu.Huyu hana tofaut na mwendazake,
Hii nayo ni thread!! Una haraka gani?Nimesikia kwa mbali nikiwa barabarani hapa Shelui Iramba!
WalipoambiwaMorogoro kuna Laana Viongozi wengi wanaishia kutumbuliwa hasa DCs na RCs.
Dr Rutengwe na Dr. Kebbwe ni mashahidi
Duh mama anatumbua polepole kama anacheza hivi ila ndio unakwendaWalipoambiwa
Samia = Magufuli
hawakuelewa? Unyumbu wao umewaponza
Yeye siyo muuaji na mpenda sifa Kama Magufuli wenu.Walipoambiwa
Samia = Magufuli
hawakuelewa? Unyumbu wao umewaponza
Wapi huko?Nimesikia kwa mbali nikiwa barabarani hapa Shelui Iramba!
Anawahi luleta habari, sijui kuna posho?Hii nayo ni thread!! Una haraka gani?
Jichunge bwana kuna watu wataomba location utakayotembea uchiKama Pasco hakikosa kuteuliwa kwenye hizi nafasi mbili zilizo wazi hapa natembea uchi siku tatu mfululizo halafu najiua kutakuwa hamna haja ya kuendelea kuishi ile dhana ya bad luck itajidhihirisha waziwazi
50Hivi ujana mwisho miaka mingapi?
Mkuu wa wilaya wa Morogoro na DED wakeNani na nani mkuu
Walipoambiwa
Samia = Magufuli
hawakuelewa? Unyumbu wao umewaponza
Mama kasema nafasi hizo ni za vijana! Pascal siyo kijana kwani ana miaka 50+.Kama Pasco hakikosa kuteuliwa kwenye hizi nafasi mbili zilizo wazi hapa natembea uchi siku tatu mfululizo halafu najiua kutakuwa hamna haja ya kuendelea kuishi ile dhana ya bad luck itajidhihirisha waziwazi