Ndio yeyeHao kosa lao itakuwa wamekula wakavimbiwa, Rais hapendi hilo anataka ule kwa kiasi.
Huyo mkurugenzi wa Iringa sio yule alieshutumiwa kwa ubakaji siku chache zilizopita? kama ndie akapumzike tu, yeye alikuwa hachagui vyakula anabugia chochote.
Kama wakula pesa ya umma lazima washughulikiwe usukuma wao wakautumie kwenye matambiko hukoDaganya toto hii,hapo wanatafutwa wasukuma,kati ya hao wanne,watatu ni wasukuma
Hawapiiii kosa lao ni kula wakati wao siyo VIP WA TEAM MSOGA .Hao kosa lao itakuwa wamekula wakavimbiwa, Rais hapendi hilo anataka ule kwa kiasi.
Huyo mkurugenzi wa Iringa sio yule alieshutumiwa kwa ubakaji siku chache zilizopita? kama ndie akapumzike tu, yeye alikuwa hachagui vyakula anabugia chochote.
Itabidi wazitoe toka kwenye tundu mojawapo kati yale 7Hela hawarudishi?!
Kawafundisha hawajakaa sawa kawageukaWamekula kutokana na urefu wa kamba zao mna watengua kwa nn?
Mtoto wa Jaji Luvuba mzee alisaidia CCM kuingia madarakani
Sukuma gang jingine limefyekwa. Mpk yataisha haya masalia ya jini jiweMkurugenzi Paulo Malala,
Ameshafanya preliminary investigation na majibu yamethibitisha tuhuma ni za kweli. DED wa Geita vijijini uchunguzi bado unaendelea. Mama hakurupuki, anafanya uchunguzi kwanza.Anatumbuliwaje mtu kwa sababu tu ya tuhuma? Je tuhuma zikishindwa kuthobitishwa? Namkumbuka yule Mkurugenzi aliyechongewa na mbunge wake kuwa kajinunulia Vieiti kinyume na utaratibu! Mwisho wa siku ikagundulika kuwa alikuwa na baraka zote zilizotakiwa. Utumbuaji wa namna hii inawapa nguvu wale wanaopenda kuchonganisha na kuwaharibia watu.
Amandla...
Preliminary investigation hata siku moja haikupi majibu ya mwisho. Inachofanya ni kuthibitisha haja ya kufanya uchunguzi kamili. Kumtumbua mtu kwa sababu uliyosema ni kumuonea.Ameshafanya preliminary investigation na majibu yamethibitisha tuhuma ni za kweli. DED wa Geita vijijini uchunguzi bado unaendelea. Mama hakurupuki, anafanya uchunguzi kwanza.
Mbona wote wa dini Moja 🤣🤣🤣🤣Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa njiani kutoka Mwanza kwenda mkoani Mara, leo Ijumaa ametangaza kutengua uteuzi wa wakurugenzi wanne wa Halmashauri ya Buchosha, Iringa, Mbeya na Singida Mjini baada ya kubainika kutumia vibaya fedha za UVIKO-19.
---
Rais Samia Suluhu Hassan amewatengua Wakurugenzi wa Halmashauri nne kutokana na tuhuma za matumizi mabaya ya fedha na amesema Mkurugenzi wa Geita kama akikutwa na ubadhirifu pia tataenguliwa
Wakurugenzi waliotenguliwa ni Mkurugenzi wa Buchosa, Iringa, Mbeya Mjini na Singida Mjini. Utenguzi umefanyika baada ya Waziri wa OR-TAMISEMI Innocent Bashungwa kusema wanafanya uchunguzi wa haraka kwa wakurugenzi walioripotiwa kufanya ubadhirifu
Halmashauri ya Buchosa ilikuwa chini ya Mkurugenzi Paulo Malala, Mkurugenzi wa Iringa ni Limbe B. Limbe, Mkurugenzi wa Singida Mjini ni Zefrin Kimolo Lubuva, na Mbeya Mjini ni Amede E.A Ngwanidako
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa njiani kutoka Mwanza kwenda mkoani Mara, leo Ijumaa ametangaza kutengua uteuzi wa wakurugenzi wanne wa Halmashauri ya Buchosha, Iringa, Mbeya na Singida Mjini baada ya kubainika kutumia vibaya fedha za UVIKO-19.

Duu km ni ivo asavali, ng'oa magugu tupilia mbali huko. Mama anaupiga mwingi.Daganya toto hii,hapo wanatafutwa wasukuma,kati ya hao wanne,watatu ni wasukuma
Ng'wanidako?Ni ng'wanidako
Watakuwa wamevimbiwa sanaWamekula kutokana na urefu wa kamba zao mna watengua kwa nn?