Rais Samia awatumbua Wakurugenzi wa Halmashauri wanne kwa ubadhirifu wa Fedha zikiwemo za UVIKO-19

Rais Samia awatumbua Wakurugenzi wa Halmashauri wanne kwa ubadhirifu wa Fedha zikiwemo za UVIKO-19

Mama samia tumbua waliohusika na warudishe fedha yoote waliokula. Kuanzia mkurugenzi, wakuu wa idara hadi wakuu wa shule waliohusika. Mama usiache mtu. Ushahidi tunao mama
 
Mama samia tumbua waliohusika na warudishe fedha yoote waliokula. Kuanzia mkurugenzi, wakuu wa idara hadi wakuu wa shule waliohusika. Mama usiache mtu. Ushahidi tunao mama
Mbona Samia alituambia kuwa serikali yake Sio Watu wa kufoka na kutumbua watu adharani,tena akaenda mbele zaidi nakusema hata viongozi wakifanya ziara huko mikoani wakakuta wamearibu,wawaite pembeni Sio adharani wawaonye kwa ustarabu,Sasa Yeye Mbona katoka adharani na kutumbua? Ndio Maana nasema Sasahivi atuna Rais tuna rais chenga tu, Rais gani anapingana na kauli zake mwenyewe
 
Shule nyingi za sekondari wilayani buchosa zimeshamaliza fedha kwenye account zao kingali ujenzi haujakamilika na waliokamilisha bado upo chini ya kiwango na mafundi wengi bado wanadai fedha zao hawajalipwa. Hawa mafisadi warudishe fedha kisha wapewe kesi za uhujumu uchumi
 
Nawapa Taarifa TU kwamba, Ma-ded Wote waliotumbuliwa Leo na Chifu HAngaya Wote ni Wakristo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Haijarishi..chamsingi kama kweli wametumbua hizo pesa..wafikishwe mahakamani tofauti nahapo itakua ni uonevu na figisu za chief hangaya aweke wazenji.

#MaendeleoHayanaChama
 
Waandishi wa Habari wakapige picha miradi yote tuone kama yanakidhi vigezo sio kutafuta habari uchwara zisizokuwa na mashiko

Wizi wapo wengi sio hao tu hata wajenzi na waalimu wakuu
Saka kila mahali hawa ni kama wahalifu wengine tu
 
Wa Geita atajifanya kamba imekuwa fupi ghafla na kupunguza eneo la ulaji.

Yule wa Geita hawatakuta kitu kwasababu kazi iliyofanyika ya kujenga yale madarasa ni Mfano wa kuigwa nchi nzima. The quality of the classrooms is impeccable!! Yote hayo ni fitina za Musukuma, Kwani RC na DC wa Geita na Kamati ya ulinzi na usalama haikuona ubadhilifu huo wangoje mpaka Musukuma ndio atoe hizo kashfa?
 
Haijarishi..chamsingi kama kweli wametumbua hizo pesa..wafikishwe mahakamani tofauti nahapo itakua ni uonevu na figisu za chief hangaya aweke wazenji.

#MaendeleoHayanaChama

Hangaya angekuwa kweli anauchungu wa matumizi ya fedha ya wananchi angeanzia na wale waliokwapua mabiioni kule BOT wakati Jiwe alipokuwa mgonjwa! Nafsi yake itamsuta anapowachukulia hatua hawa vifaranga ili hali mapapa yenyewe yanaranda randa tu bungeni na mitaani!!
 
Yule wa Geita hawatakuta kitu kwasababu kazi iliyofanyika ya kujenga yale madarasa ni Mfano wa kuigwa nchi nzima. The quality of the classrooms is impeccable!! Yote hayo ni fitina za Musukuma, Kwani RC na DC wa Geita na Kamati ya ulinzi na usalama haikuona ubadhilifu huo wangoje mpaka Musukuma ndio atoe hizo kashfaf?
Ni kweli ujenzi wa madarasa ya COVID Wilayani Geita ulisimamiwa vyema na madarasa yako na kiwango walau asilimia 75. Hilo liko wazi. Shida ya DED wa Geita ni kukiuka taratibu za manunuzi za Serikali. Mbona alihozi tenda za kununua kila kitu? Akawagawia ndg zake? Huo ndio utaratibu? Hilo ndo eneo Musukuma amejikita. Na ndo eneo DED halitamuacha salama.

Kusema kwamba kulikuwa na RC, huwezi jua perhaps ako kwenye chain ya kupiga.

Unajua hii hela pamoja na kulenga kuboresha madarasa, pia ililenga kuongeza mzunguko wa hela maeneo husika. Sasa, just imagine kwa Geita, madilisha yanatengezewa nzega. Cement inaagizwa direct kutoka Tanga? Mabati Mkurugenzi anaagiza Mwanza, nondo Mwanza, etc.

Kumbe angewapa tenda watu local jamii za eneo husika zingefaidika na mzunguko wa hela.
 
Hawa usiwaamini sana. Inawezekana kuna mengine nyuma ya pazia kwenye uteguzi
 
Nadhani tatizo lipo hapo kuwa kwanini hakuwapa tender wakina Msukuma na genge lake akaenda kununua cement direct kutoka kiwandani Tanga, madirisha katengeneza Nzega na mabati kununua kutoka Mwanza! Kumbukeni kuwa mradi huu wa kujenga madarasa ulikuwa na deadline ambayo angalizo lilitolewa na Rais Kuwa mradi huo uwe umemalizika tayari kwa wanafunzi kuingia madarasani. Hivyo basi watendaji ilibidi watumie kila mbinu kupata materials za kuwezesha miradi ikamilike. Hakukuwa na maelekezo kuwa materials zinunuliwe locally irrespective of availability , sidhani kama ni kosa kusource materials zenye viwango kutoka wilaya jirani kwani kote ni Tanzania!! Hilo suala la mzunguko wa hela ni kwa nchi nzima na sio kwa Geita tu; zikiwemo Mwanza,Tanga na Nzega!!

Kusema kuwa Rc na DC nao inawezekana kuwa Walikuwa Kwenye mlolongo wa kupiga; basi kama ni hivyo nao wawajibishwe kama itadhihilika kuwa ni Kweli!!

Ni vizuri kwa Samia uuwa na watu wake watakaofanya uchunguzi independently ili haki itendeke badala ya kutegemea majungu ya wanasiasa kama Msukuma.
 
Hao kosa lao itakuwa wamekula wakavimbiwa, Rais hapendi hilo anataka ule kwa kiasi.

Huyo mkurugenzi wa Iringa sio yule alieshutumiwa kwa ubakaji siku chache zilizopita? kama ndie akapumzike tu, yeye alikuwa hachagui vyakula anabugia chochote.
Mtu akituhumiwa kubaka anapumzishwa bsdala ya kukamatwa ashtakiwe? Bado hatuna serikali makini inayoendana na matakwa ya karne hii. Sisi bado tupo kwenye ujima linapokuja suala la uongozi na madaraka.
 
Waandishi wa Habari wakapige picha miradi yote tuone kama yanakidhi vigezo sio kutafuta habari uchwara zisizokuwa na mashiko

Wizi wapo wengi sio hao tu hata wajenzi na waalimu wakuu
Saka kila mahali hawa ni kama wahalifu wengine tu
Hata sisi picha tunazo. Semeni tuu tuziweke hapa
 
Mama hataki mchezo kwenye Fedha za Umma.
ukizichezea fedha za walipa kodi ujue umekwenda na maji.
 
Mama samia tumbua waliohusika na warudishe fedha yoote waliokula. Kuanzia mkurugenzi, wakuu wa idara hadi wakuu wa shule waliohusika. Mama usiache mtu. Ushahidi tunao mama
Yupo mkuu wa Shule X akishirikiana na SlO wa zamani wametafuna pesa kisha mkuu wa Shule X kahamishwa Pia na mratibu wa kata W iliopo kijiji shells nae kahamishwa.lakini wote hao hawakukabidhi miradi
 
Yule wa Geita hawatakuta kitu kwasababu kazi iliyofanyika ya kujenga yale madarasa ni Mfano wa kuigwa nchi nzima. The quality of the classrooms is impeccable!! Yote hayo ni fitina za Musukuma, Kwani RC na DC wa Geita na Kamati ya ulinzi na usalama haikuona ubadhilifu huo wangoje mpaka Musukuma ndio atoe hizo kashfa?
Nimekusoma Chief.
 
Pongezi kwa Rais wetu kwa kuwa makini katika usimamizi wa fedha za serikali ,lakini pia naomba hao wahusika wafikishwe mbele ya sheria ili kuwajibika kwa walichokifanya.
#kaziiendelee
 
Back
Top Bottom