Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona Samia alituambia kuwa serikali yake Sio Watu wa kufoka na kutumbua watu adharani,tena akaenda mbele zaidi nakusema hata viongozi wakifanya ziara huko mikoani wakakuta wamearibu,wawaite pembeni Sio adharani wawaonye kwa ustarabu,Sasa Yeye Mbona katoka adharani na kutumbua? Ndio Maana nasema Sasahivi atuna Rais tuna rais chenga tu, Rais gani anapingana na kauli zake mwenyeweMama samia tumbua waliohusika na warudishe fedha yoote waliokula. Kuanzia mkurugenzi, wakuu wa idara hadi wakuu wa shule waliohusika. Mama usiache mtu. Ushahidi tunao mama
Haijarishi..chamsingi kama kweli wametumbua hizo pesa..wafikishwe mahakamani tofauti nahapo itakua ni uonevu na figisu za chief hangaya aweke wazenji.Nawapa Taarifa TU kwamba, Ma-ded Wote waliotumbuliwa Leo na Chifu HAngaya Wote ni Wakristo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wa Geita atajifanya kamba imekuwa fupi ghafla na kupunguza eneo la ulaji.
Haijarishi..chamsingi kama kweli wametumbua hizo pesa..wafikishwe mahakamani tofauti nahapo itakua ni uonevu na figisu za chief hangaya aweke wazenji.
#MaendeleoHayanaChama
Ni kweli ujenzi wa madarasa ya COVID Wilayani Geita ulisimamiwa vyema na madarasa yako na kiwango walau asilimia 75. Hilo liko wazi. Shida ya DED wa Geita ni kukiuka taratibu za manunuzi za Serikali. Mbona alihozi tenda za kununua kila kitu? Akawagawia ndg zake? Huo ndio utaratibu? Hilo ndo eneo Musukuma amejikita. Na ndo eneo DED halitamuacha salama.Yule wa Geita hawatakuta kitu kwasababu kazi iliyofanyika ya kujenga yale madarasa ni Mfano wa kuigwa nchi nzima. The quality of the classrooms is impeccable!! Yote hayo ni fitina za Musukuma, Kwani RC na DC wa Geita na Kamati ya ulinzi na usalama haikuona ubadhilifu huo wangoje mpaka Musukuma ndio atoe hizo kashfaf?
Ni kweli ujenzi wa madarasa ya COVID Wilayani Geita ulisimamiwa vyema na madarasa yako na kiwango walau asilimia 75. Hilo liko wazi. Shida ya DED wa Geita ni kukiuka taratibu za manunuzi za Serikali. Mbona alihozi tenda za kununua kila kitu? Akawagawia ndg zake? Huo ndio utaratibu? Hilo ndo eneo Musukuma amejikita. Na ndo eneo DED halitamuacha salama.
Kusema kwamba kulikuwa na RC, huwezi jua perhaps ako kwenye chain ya kupiga.
Unajua hii hela pamoja na kulenga kuboresha madarasa, pia ililenga kuongeza mzunguko wa hela maeneo husika. Sasa, just imagine kwa Geita, madilisha yanatengezewa nzega. Cement inaagizwa direct kutoka Tanga? Mabati Mkurugenzi anaagiza Mwanza, nondo Mwanza, etc.
Kumbe angewapa tenda watu local jamii za eneo husika zingefaidika na mzunguko wa hela.
Mtu akituhumiwa kubaka anapumzishwa bsdala ya kukamatwa ashtakiwe? Bado hatuna serikali makini inayoendana na matakwa ya karne hii. Sisi bado tupo kwenye ujima linapokuja suala la uongozi na madaraka.Hao kosa lao itakuwa wamekula wakavimbiwa, Rais hapendi hilo anataka ule kwa kiasi.
Huyo mkurugenzi wa Iringa sio yule alieshutumiwa kwa ubakaji siku chache zilizopita? kama ndie akapumzike tu, yeye alikuwa hachagui vyakula anabugia chochote.
Hata sisi picha tunazo. Semeni tuu tuziweke hapaWaandishi wa Habari wakapige picha miradi yote tuone kama yanakidhi vigezo sio kutafuta habari uchwara zisizokuwa na mashiko
Wizi wapo wengi sio hao tu hata wajenzi na waalimu wakuu
Saka kila mahali hawa ni kama wahalifu wengine tu
Yupo mkuu wa Shule X akishirikiana na SlO wa zamani wametafuna pesa kisha mkuu wa Shule X kahamishwa Pia na mratibu wa kata W iliopo kijiji shells nae kahamishwa.lakini wote hao hawakukabidhi miradiMama samia tumbua waliohusika na warudishe fedha yoote waliokula. Kuanzia mkurugenzi, wakuu wa idara hadi wakuu wa shule waliohusika. Mama usiache mtu. Ushahidi tunao mama
Nimekusoma Chief.Yule wa Geita hawatakuta kitu kwasababu kazi iliyofanyika ya kujenga yale madarasa ni Mfano wa kuigwa nchi nzima. The quality of the classrooms is impeccable!! Yote hayo ni fitina za Musukuma, Kwani RC na DC wa Geita na Kamati ya ulinzi na usalama haikuona ubadhilifu huo wangoje mpaka Musukuma ndio atoe hizo kashfa?
Majina yaleyaleAisee....sawa bwana, kumbe familia zinazofaidi keki ya taifa zitaendelea kuwa zilezile...mkubalini yaishe... hahahahaaaa.
SureUpo sawa, huyu alikuja kuteuliwa mwishoni maana mwanzo mwanga alikua mgonzo