Pre GE2025 Rais Samia awekwe kwenye Noti/Sarafu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mama anaongoza vzuri sana sema tu watu msha develop Negativity
ndio maana mnaongozwa na Chuki
Mambo ya chuki yametoka wapi? Von Soden naye aliongoza vizuri. Richard Turnbull naye aliongoza vizuri hadi akatupa uhuru.

Mama wa Kizimkazi naye tutamsoma kwenye historia kama hao watawala wa kigeni
 
imepita hioo utekelezaji tuu
 
Pia picha za ukutani za baba wa taifa nazo zitolewe,ziwekwe za mama
 
ulimpigia kura?.
 

Mpaka afanye kitu kikubwa cha kitaifa kama katiba ambayo ni kwa manufaa ya umma na sio kichama
 
Atawekwa tuu ,wapende au wanune

View: https://twitter.com/Jambotv_/status/1793265272230469821?t=ZEjelT4ODM0YSCNRo9arkA&s=19
 
Akawekwe kwenye noti za Kizimkazi huko. Na yale majicho yake si atatisha watu kwenye hizo noti?
 
Nahisi mtoa mada umevimbiwa amani uliyo nayo kwa sasa na umemiss matusi
 
HAPANA.
 
Raisi Samia alikataa kusifiwa sifiwa Baada ya kugundua wale wanaomsifia sana ndio mafisadi
 
Raisi Samia alikataa kusifiwa sifiwa Baada ya kugundua wale wanaomsifia sana ndio mafisadi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…