Pre GE2025 Rais Samia awekwe kwenye Noti/Sarafu

Pre GE2025 Rais Samia awekwe kwenye Noti/Sarafu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kuwa na rais mwanamke nayo ni bahati? Mbona mnapenda Sana kutumia jinsia ya huyu mama vibaya.
No wonder kama taifa tumekosa identity Kwa ujinga WA wananchi WA taifa hili uliosababishwa na siasa chafu .
 
Tanzania ni moja ya nchi chache zenye bahati ya kupata Rais mwanamke.

Dr Samia kukalia kiti cha Urais kumebadilisha mtazamo wa wa Africa wengi kuweza kuwaamini wanawake.

Tangu mama ameshika nchi uchumi umekuwa kwa kasi na mambo yanaenda. Je, hamuoni kuwa ni sahihi mama awekwe kwenye noti yetu ili akumbukwe vizazi na vizazi?

Nawasilisha.
Au juu ya mlima kilimanjaro
 
Kwakuwa reality Mama ndie Rais, hakuna ubaya akiwekwa kwenye sarafu japo haitegemewi kama suala la kuongozwa na Rais mwanamke litajirudia katika historia ya bongo baada ya Mama kumaliza muda wake hapo 2031.

It was just by chance she became the President and what we know is that most African countries are not ready for a female President.
 
Tanzania ni moja ya nchi chache zenye bahati ya kupata Rais mwanamke.

Dr Samia kukalia kiti cha Urais kumebadilisha mtazamo wa wa Africa wengi kuweza kuwaamini wanawake.

Tangu mama ameshika nchi uchumi umekuwa kwa kasi na mambo yanaenda. Je, hamuoni kuwa ni sahihi mama awekwe kwenye noti yetu ili akumbukwe vizazi na vizazi?

Nawasilisha.
Chai
 
Tanzania bado tuna wananchi wengi waoingia chooni wakiwa wamevaa kanda mbili wakiamin viatu huvaliwa ofisini na makanisani tu

Mungu tusaidie
 
ndio maana nikasema nchi chache, mimi skusema yeye ndo wa kwanza, halatu tuna noti zaidi ya nne kwani mama akikaa kwenye noti moja kuna ubaya?
Weka kwanza sura ya Mkapa kwenye noti mojawapo,halafu Kikwete,halafu Magufuri na Mama Samiah maana picha za Mwinyi na Nyerere zipo ili kuweka uwiano sawa ili moyo wako uridhike.
 
Back
Top Bottom