Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi Malawi & Liberia hazikuwahi kuwa na maraisi wanawake au mm rekodi zimenitoka.Tanzania ni moja ya nchi chache zenye bahati ya kupata Rais mwanamke.
Dr Samia kukalia kiti cha Urais kumebadilisha mtazamo wa wa Africa wengi kuweza kuwaamini wanawake.
Tangu mama ameshika nchi uchumi umekuwa kwa kasi na mambo yanaenda. Je, hamuoni kuwa ni sahihi mama awekwe kwenye noti yetu ili akumbukwe vizazi na vizazi?
Nawasilisha.
Hata Magufuli mulitaka hayo hayo, taweka ya kwako...Tanzania ni moja ya nchi chache zenye bahati ya kupata Rais mwanamke.
Dr Samia kukalia kiti cha Urais kumebadilisha mtazamo wa wa Africa wengi kuweza kuwaamini wanawake.
Tangu mama ameshika nchi uchumi umekuwa kwa kasi na mambo yanaenda. Je, hamuoni kuwa ni sahihi mama awekwe kwenye noti yetu ili akumbukwe vizazi na vizazi?
Nawasilisha.
Wewe huo uzuri umeuona peke yako kati ya watu 60 mil.ndio maana nikasema nchi chache, mimi skusema yeye ndo wa kwanza, halatu tuna noti zaidi ya nne kwani mama akikaa kwenye noti moja kuna ubaya?
unawaza nini?.Kama mleta mada ni mwanaume inaelekea hata nyumbani kwake anatawaliwa na mke wake,ameshindwa hata kujua kuwa yeye kama mwanaume ni kichwa na hatakiwi kutawaliwa na mwanamke pia dini zinakataza mwanamke kuwa mtawala wa ngazi kama ya urais.
Hakuna Mtanganyika mjinga kama weweMimi mbongo Pure tena Mtanganyika
Ninawaza laana ya Magufuli aliyotuachia ambayo hata Mungu mwenyewe anaikataa.unawaza nini?.
Picha alizowekwa kwenye minara na dpw Dubai hazijatosha mpaka tumuweke na kwenye note zetu?.Tanzania ni moja ya nchi chache zenye bahati ya kupata Rais mwanamke.
Dr Samia kukalia kiti cha Urais kumebadilisha mtazamo wa wa Africa wengi kuweza kuwaamini wanawake.
Tangu mama ameshika nchi uchumi umekuwa kwa kasi na mambo yanaenda. Je, hamuoni kuwa ni sahihi mama awekwe kwenye noti yetu ili akumbukwe vizazi na vizazi?
Nawasilisha.
Ata kwenye amsini (Tsh 50) autaki awekwe?.Picha alizowekwa kwenye minara na dpw Dubai hazijatosha mpaka tumuweke na kwenye note zetu?.
Uchawa mnausomea chuo Gani?Tanzania ni moja ya nchi chache zenye bahati ya kupata Rais mwanamke.
Dr Samia kukalia kiti cha Urais kumebadilisha mtazamo wa wa Africa wengi kuweza kuwaamini wanawake.
Tangu mama ameshika nchi uchumi umekuwa kwa kasi na mambo yanaenda. Je, hamuoni kuwa ni sahihi mama awekwe kwenye noti yetu ili akumbukwe vizazi na vizazi?
Nawasilisha.
Kwani ikiwekwa watanzania tutafaidika na kitu gani?.Ata kwenye amsini (Tsh 50) autaki awekwe?.