Supu ya kokoto
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,194
- 7,602
Au juu ya mlima kilimanjaroTanzania ni moja ya nchi chache zenye bahati ya kupata Rais mwanamke.
Dr Samia kukalia kiti cha Urais kumebadilisha mtazamo wa wa Africa wengi kuweza kuwaamini wanawake.
Tangu mama ameshika nchi uchumi umekuwa kwa kasi na mambo yanaenda. Je, hamuoni kuwa ni sahihi mama awekwe kwenye noti yetu ili akumbukwe vizazi na vizazi?
Nawasilisha.
ChaiTanzania ni moja ya nchi chache zenye bahati ya kupata Rais mwanamke.
Dr Samia kukalia kiti cha Urais kumebadilisha mtazamo wa wa Africa wengi kuweza kuwaamini wanawake.
Tangu mama ameshika nchi uchumi umekuwa kwa kasi na mambo yanaenda. Je, hamuoni kuwa ni sahihi mama awekwe kwenye noti yetu ili akumbukwe vizazi na vizazi?
Nawasilisha.
Weka kwanza sura ya Mkapa kwenye noti mojawapo,halafu Kikwete,halafu Magufuri na Mama Samiah maana picha za Mwinyi na Nyerere zipo ili kuweka uwiano sawa ili moyo wako uridhike.ndio maana nikasema nchi chache, mimi skusema yeye ndo wa kwanza, halatu tuna noti zaidi ya nne kwani mama akikaa kwenye noti moja kuna ubaya?