#COVID19 Rais Samia azindua Kampeni ya Maendeleo kwa Ustawi wa Taifa na Mapambano dhidi ya COVID-19 Jijini Dodoma

Kupanda ndege na kuzurura nje ya nchi ndio kujitoa? Unajua wakulima wangapi wanajitoa kukesha shambani kufanya kazi bila kuchoka tena bila pembejeo bora za kilimo alafu wakituma ada za watoto wanakatwa kodi kubwa??
Kwa hiyo ukikesha shambani ndio unatakaje? Mbona baba yako anazururaga vilabuni alifanya nini cha maans?

Mama kazurula kaleta pesa,una jingine?
 
Tumejenga HOSPITALI NYINGI ZA MIKOA NA RUFAA....je zilikuwa na ICU(sadaruki) za ukweli na zilizokamilika(well equipped)?!!!

Jibu ni hapana......

Sasa serikali sikivu chini ya mh.SSH inakwenda kujenga ICU(sadaruki) 72 nchi nzima.....

HAYA NI MAPINDUZI MAKUBWA....
HAYA NI MAPINDUZI YA KIAFYA NCHINI......

SIEMPRE JMT
SIEMPRE CHIFU MKUU HANGAYA πŸ™
 
Sio tuu vyuo vya Veta amesema hadi CDF yaani vyuo vya wananchi na kujenga vyuo 17 vya ualimu,mojawapo kipo huku niliko
 
Nasubiri comments za polepole..
 
Nyingi ya hospital zenyewe hata hazikukamilika kwa majengo ,inamaana zitakamiloshwa na kuwekwa Vifaa vya kisasa vya uchunguzi..XY kwenye hospital za Wilaya na MRI hospital za Kanda na CT Scan hospital zote za Mikoa sio mchezo boss ,
 
Kwa hiyo nao wakikesha wanatakaje?Umegaiwa sh ngapi?
Hakuna pesa ya bure,fanya Kazi omba tenda utoe jasho ndio upate pesa..Mimi Mgao wangu ni huduma bora..

Imagine ukiwa Nyanda za Juu mkoa wowote ukitaka MRI na CT scan lazima uende Dom au Dar ,,sasa huu upuuzi unakwenda kuisha
 
Tunaangalia itakavyo kuwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…