Huko Pemba wakulima WA karafuu wanacheka balaa. Huu mwaka gari zitakosa parking. Mahindi bado.Huyu Mama mbona kama anakuja kasi sana aise
Kila kona Samia, Samia
Wakulima mwaka huu wananunua mabati balaa kumbe mama kawafurahisha
Vinapanda kwakuwa pesa ipo, Purchasing power iko juu
Watu wanayo pesa tayari najua umeanza kushuhudia kwa macho ya nyama
Hii demand 'Vs supply ni wakati wa Mama tu au unazikwepa juhudi zake?
Tuache roho mbaya Rais Samia anafanya kazi kubwa sana,
Vinapanda kwakuwa pesa ipo, Purchasing power iko juu
Watu wanayo pesa tayari najua umeanza kushuhudia kwa macho ya nyama
Purchasing power imeongezeka na nini wakati mishahara haijaongezwa kwa miaka sita na biashara nyingi zinakufa au zimekuwa DORO? 😳
Huko Pemba wakulima WA karafuu wanacheka balaa. Huu mwaka gari zitakosa parking. Mahindi bado.
Huu ni msimu wa neema ktk mazao duniani kote yaliko mazao, na si juhudi ya mamaWewe si mkulima, vinginevyo usingetamka maneno hayo. Mfuko unajaa, tofauti unaiona bila kupepesa macho eti mpaka nipate ushuhuda nchi nyingine.... Loooooooo balaaaaaa,.
Acheni unafiki nyie vibwengo wa mwenda zake lock down ilikuwa 2020 lakini soko la bidhaa tanzania limekauka tangu 2016 mwanzoni sasa sijui mnataka kundanganya nani asiye jua, mpeni mama pongezi zake hata kama hamumtaki.Na kweli "kazi ieendelee". Wakati wa "hapa kazitu#", nchi jirani na kwingeneko walikuwa "lockdown". Kwao huko sasa ni njaa na mahitaji makubwa ya mazao ya kilimo. Kwetu sisi matunda ya kutokuweka "lockdown" sasa ndio yanaonekana. Ukichanganya na "diplomasia ya uchumi" hakuna shaka maendeleo kwa kasi
Mnafiki ni wewe unayesukumwa na chuki dhidi ya mwendazake. Lakini yawezekana hujui mazao mengi huchukua muda gani hadi kuvunwa. Labda na wewe ni mmoja wa wale walioimbishwa "elimu, elimu, elimu!" na "kuzungusha mikono!". J2 njemaAcheni unafiki nyie vibwengo wa mwenda zake lock down ilikuwa 2020 lakini soko la bidhaa tanzania limekauka tangu 2016 mwanzoni sasa sijui mnataka kundanganya nani asiye jua, mpeni mama pongezi zake hata kama hamumtaki.
Hizo sababu ulizotaja hapo ndio zimefanya bei ipande. Hizo unazoita bahati mbaya ndio zimeamua soko, sio mama SamiaKanda ya ziwa pamba imenunuliwa kwa tsh. 1750, toka tsh. 900 ya mwaka jana. Bahati mbaya wengi hawakulima mwaka jana baada ya kuchoshwa na Bei,mkopo na mvua kubwa zilizopitiliza na ugonjwa wa pamba kuzeeka ( kuwa nyekundu) kabla ya wakati.
Jibu swali langu acha hoja zako za kitoto hizo hayo mazao hata yangechukua miaka 200 bado circle ya mazao itakuwepo kila mwaka kwa sababu wakati wewe unapanda leo wenzio walisha panda mwaka jana na wengine mwaka juzi na wengine miaka 10 iliyo pita hivyo circle ya mazao itakuwepo kila mwaka, miaka 4.5 iliyo pita soko la mazoa tanzania lilidorola hasa kwa mazao yanayo tegemea sana soko la nje lakini pia hadi mahindi ambayo ni ya miezi mitatu hadi sita kuvuna yalidorora unataka kuniambia nini wewe !? Hata kama una mapenzi na mwendazake lazima tukubaliane kwamba kwenye uchuni wa nchi sera na falsafa yake iliharibu sana uchumi wa kijamii, yeye alikuwa anafurahia pesa kujaa hazina wakati hazipo kwenye mzunguko.Mnafiki ni wewe unayesukumwa na chuki dhidi ya mwendazake. Lakini yawezekana hujui mazao mengi huchukua muda gani hadi kuvunwa. Labda na wewe ni mmoja wa wale walioimbishwa "elimu, elimu, elimu!" na "kuzungusha mikono!". J2 njema
2016 - 2020, ilikuwa ni marufuku kupeleka nje mazao na kuuza huko. Kauli ya W/MKUU Majaliwa ilikuwa hivi: Ukikutikana na mazao katikia lori lako unayasafirisha nje ya nchi, mazao hayo yatataifishwa na lile Lori litataifishwa.Huu ni msimu wa neema ktk mazao duniani kote yaliko mazao, na si juhudi ya mama
Hata kama hivyo ndivyo, inamaanisha unacheza katika maeneo ya bahati, nuru, kisimati au nyota ukipenda. Amini utavyoamini, lakini kama ujio wa Mama ndio umeleta bahati ya kupanda bei za mazao ya kibiashara yauzwayo nje ni heri sana. Kwa maana kwa mkulima hoja ni mfuko ujae mapesa. Kumbe basi tulihitaji ujio wa Mama Samia ili mkulima akomboke!Hizo sababu ulizotaja hapo ndio zimefanya bei ipande. Hizo unazoita bahati mbaya ndio zimeamua soko, sio mama Samia
Mmmmmm, si kwa hasira hizi. Si ajabu nikisema kuwa hapa wenzangu mmetoka nje ya hoja. Yote yazungumzwe lakini hoja moja ni ya msingi kwa mkulima - Mfuko wa mkulima mwaka huu kwa 100% zaidi ya mwaka jana. Hili ndilo la muhimu kwa mkulima.Mnafiki ni wewe unayesukumwa na chuki dhidi ya mwendazake. Lakini yawezekana hujui mazao mengi huchukua muda gani hadi kuvunwa. Labda na wewe ni mmoja wa wale walioimbishwa "elimu, elimu, elimu!" na "kuzungusha mikono!". J2 njema
Soko lilikuwepo na lipo siku zote inategemeana na wewe unapokwenda sokoni una lugha gani. Soko la mbaazi, mahindi, korosho, pamba na kahawa liko nje ya Tanzania. Unawatukana wote, toka Kenya mpaka umoja wa Ulaya halafu unategemea wakufungulie soko lao. Akili mali!Hata mbaazi sasa bei ipo juu, ikumbukwe kuwa Kuna mwaka hakukuwa na soko kabisa, watu waliambiwa wale wenyewe kwani ni mboga, watu wakaamua kuziacha huko mashambani