Rais Samia baadhi ya washauri wako wanataka kuangusha Serikali yako kupitia Wananchi

MlimaSayuni

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2013
Posts
7,285
Reaction score
13,703
Tafadhari kila mmoja asambaze uzi huu Kila mahali kwenye Magroup ya WhatsApp na mitandandao ya Kijamii Nafahau Samia unaweza Kusoma taarifa, Washauri wanaomtakia mema Samia na Washauri wasiomtakia mema Samia.

Rais Samia analazimishwa kucheza Karata mbaya za kisiasa, Katika Washauri wa Karibu kuna uwezakano mtu/watu fulani wanamfanya Samia awe anafanya rash political moves, Wapinzani wa Rais wa ndani CCM/Serikali wanaojifanya wako upande wa Rais na wenye nguvu wanatengeneza mazingira magumu ya Serikali yako kufika 2030 salama.

Suala la kumprovoke Gwajima linaonekana ni la Makusudi na lililoandaliwa ili Gwajima amjibu Rais, hili uamuzi usio sahihi ufanyike ionekane ni Serikali ya Samia

Kesi ya Tundu Lissu imeitisha hisia, macho na Masikio mengi nje na ndani ya Taifa, Samia Usipokuwa makini Serikali yako itafanya Mauaji ya Kimbari kwa sababu za Kijinga.

Watu huwa hawshindani na Dini Duniani/Imani, huwezi uka-control watu wanamuani mtu anayewaelezea maisha baada ya kifo, Samia unakosea sana kugombanisha Dini na Serikali, labda ni suala la exposure, bila Dini hakuna Serikali, unakaribisha Anarchism, Kabla ya kumuua au kumkamata Gwajima unatakiwa uue bindamu kadhaa ambao kwa hiari yao wamekubali kuwa Human shields, kama unadhani hii vita ni rahisi tazama vita kati ya Hamas-Israel, watu wako tayari kuishi na maiti ndani ila sio kuruhusu Jeshi la Israel liwafikie viongozi wao, wamekufa zaidi ya watu 50,000 kwa mabomu na njaa lakini wamesema hawatamaliza vita bila kauli ya viongozi.

Samia hili ni suala la Gwajima ukitumia Nguvu, Kanisa Katoliki litaingia upande wa Gwajima, then itatokea civil disobedience, mwisho serikali yako haitafanya kazi, wanaokulinda watagoma, wanatoa misaada watasitisha utabaki peke yako, Rais Samia tafadhari usiingie kwenye huu mtego wa Kugombanisha Serikali na Dini.
 
Wanalidharau Ksnisa la Ufufuo. Ila kana wafuasi wake wakiamua kulianzidha sijui kama wataweza kuwazuia.
 
Sema zinafanyika moves za kitoto hadi unashangaa. Yaani jana Gwajima kakutembezea spana leo unafunga kanisa.

Na vyombo vya habari siku mbili hizi vinaripoti habari kama ilivyo. Yani hii habari inaonesha kabisa kafungiwa kanisa kutokana na kukemea vitendo vya utekaji.
Screenshot_20250603-011943.png
 
Sema zinafanyika moves za kitoto hadi unashangaa. Yaani jana Gwajima kakutembezea spana leo unafunga kanisa.

Na vyombo vya habari siku mbili hizi vinaripoti habari kama ilivyo. Yani hii habari inaonesha kabisa kafungiwa kanisa kutokana na kukemea vitendo vya utekaji.View attachment 3354153
Wanataka Samia atoke madarakani
 
Tafadhari kila mmoja asambaze uzi huu Kila mahali kwenye Magroup ya WhatsApp na mitandandao ya Kijamii Nafahau Samia unaweza Kusoma taarifa, Washauri wanaomtakia mema Samia na Washauri wasiomtakia mema Samia.

Rais Samia analazimishwa kucheza Karata mbaya za kisiasa, Katika Washauri wa Karibu kuna uwezakano mtu/watu fulani wanamfanya Samia awe anafanya rash political moves, Wapinzani wa Rais wa ndani CCM/Serikali wanaojifanya wako upande wa Rais na wenye nguvu wanatengeneza mazingira magumu ya Serikali yako kufika 2030 salama.

Suala la kumprovoke Gwajima linaonekana ni la Makusudi na lililoandaliwa ili Gwajima amjibu Rais, hili uamuzi usio sahihi ufanyike ionekane ni Serikali ya Samia

Kesi ya Tundu Lissu imeitisha hisia, macho na Masikio mengi nje na ndani ya Taifa, Samia Usipokuwa makini Serikali yako itafanya Mauaji ya Kimbari kwa sababu za Kijinga.

Watu huwa hawshindani na Dini Duniani/Imani, huwezi uka-control watu wanamuani mtu anayewaelezea maisha baada ya kifo, Samia unakosea sana kugombanisha Dini na Serikali, labda ni suala la exposure, bila Dini hakuna Serikali, unakaribisha Anarchism, Kabla ya kumuua au kumkamata Gwajima unatakiwa uue bindamu kadhaa ambao kwa hiari yao wamekubali kuwa Human shields, kama unadhani hii vita ni rahisi tazama vita kati ya Hamas-Israel, watu wako tayari kuishi na maiti ndani ila sio kuruhusu Jeshi la Israel liwafikie viongozi wao, wamekufa zaidi ya watu 50,000 kwa mabomu na njaa lakini wamesema hawatamaliza vita bila kauli ya viongozi.

Samia hili ni suala la Gwajima ukitumia Nguvu, Kanisa Katoliki litaingia upande wa Gwajima, then itatokea civil disobedience, mwisho serikali yako haitafanya kazi, wanaokulinda watagoma, wanatoa misaada watasitisha utabaki peke yako, Rais Samia tafadhari usiingie kwenye huu mtego wa Kugombanisha Serikali na Dini.
Washauri wake wote hawamtaki, washamchoka na ndiyo maana wanamshauri kuwa dikteta ili tu wananchi wamsuse kama ilivyo sasa, kabakiwa na wasanii tu ambao nao wanamsupport kwa sababu wanalipwa na si kuwa wanampenda. Subiri aanguke, hao hao watamcheka na kumponda wakijuwa hatawateka na kuwang'oa kucha bila ganzi.
 
Back
Top Bottom