Rais Samia baadhi ya washauri wako wanataka kuangusha Serikali yako kupitia Wananchi

Rais Samia baadhi ya washauri wako wanataka kuangusha Serikali yako kupitia Wananchi

Hakuna sababu ya kuandika kirefu juu ya mada kama hii.
Mleta mada, kama walivyo wengine wote wanaotetea viongozi wa aina ya Samia, anataka wasomaji kwamba Samia ni mpokeaji tu wa USHAURI, toka kwa hao wanaomzunguka. Huwa sielewi kwa nini lawama huelekezwa kwa washauri, na kuwaona washauriwa kama 'victims' tu wa ushauri mbaya.

Sasa ni hivi mkuu 'Stormryder', Mpishi na mlaji wa haya yote ni huyo huyo unayetaka kumwondolea lawama.

Alipokuwa anacheza mchezo wa ulaghai, kabla ya yote haya, uliwasifu hao washauri kwa ulaghai wote wa wakati ule?

Kinachozikitisha zaidi na mada yako hii, ni kama bado unayo matumaini ya kutoa ushauri kwa huyo huyo anayeshauriwa vibaya; hata kudiriki kudhani kuwa serikali hii iwepo hadi 2030, kweli?

Maswala ya dini, nayo ni upotoshaji tu! Akina Idd Amin Dada walidunda tu hadi walipofurumushwa kwa sababu tofauti kabisa. Na mifano mingine mingi ipo. Hii haina maana kwamba kwa hapa Tanzania itakuwa rahisi kwa Samia kunyamazisha dini. Kuna mambo mengi ambayo yanaifanya serikali ya Samia kuwa inaelekea ukingoni sasa hivi, hata bila dini kuhusika.
Samia's administration is doomed.
Kinachofanyika sasa ni washauri wa Mama iddy Amini dada kumchochea afanye mambo ya hovyo vitendo haramu vya kishetani na pindi kikinuka, wanakwenda kumwambia mama awape bilion 15 kwa kazi maalum amewapa zile pesa wamegawana na zingine IGP anaweka bank mpaka mange kimambi akamuona baada ya wakenya kumdukua wakaanika siri zake za ufisadi na pia wakamkombea pesa kwenye Account yake ndiyo maana anawachukia wakenya kupita Chochote kile, sasa mateso manyanyaso uonevu kwa chadema ni fursa ni miradi haramu ya kupiga pesa
 
Uonevu kwa watu sasa ni fursa kwa Bashungwa na IGP Amos makala na chawaccm wenzao, kila baya la ccm kwa chadema wana percent zao, ni vigumu kumaliza uonevu manyanyaso kwa wakosoaji na wapinzani kwani ni miradi haramu wa wezi huko ccm chama cha mafisadi watupu
 
Nilishangaa sana Rais unapoteza mda wako kumjibu Gwajima huyu wanamtegenezea ajali za kisiasa Lowassa na Richmond mwisho wa siku Uwaziri mkuu ukaishia hapo
Utabiri wa marehemu shekhe Yahya unaenda kutimia na Dr mpango atakuwa Rais wa mpito
 
Washauri wa ibirisi mkoloni ni watu wa fursa hawana huruma ya ushauri wao hawajali chochote wao kazi ni moja kupiga pesa kwa njia haramu za kishetani
 
Tafadhari kila mmoja asambaze uzi huu Kila mahali kwenye Magroup ya WhatsApp na mitandandao ya Kijamii Nafahau Samia unaweza Kusoma taarifa, Washauri wanaomtakia mema Samia na Washauri wasiomtakia mema Samia.

Rais Samia analazimishwa kucheza Karata mbaya za kisiasa, Katika Washauri wa Karibu kuna uwezakano mtu/watu fulani wanamfanya Samia awe anafanya rash political moves, Wapinzani wa Rais wa ndani CCM/Serikali wanaojifanya wako upande wa Rais na wenye nguvu wanatengeneza mazingira magumu ya Serikali yako kufika 2030 salama.

Suala la kumprovoke Gwajima linaonekana ni la Makusudi na lililoandaliwa ili Gwajima amjibu Rais, hili uamuzi usio sahihi ufanyike ionekane ni Serikali ya Samia

Kesi ya Tundu Lissu imeitisha hisia, macho na Masikio mengi nje na ndani ya Taifa, Samia Usipokuwa makini Serikali yako itafanya Mauaji ya Kimbari kwa sababu za Kijinga.

Watu huwa hawshindani na Dini Duniani/Imani, huwezi uka-control watu wanamuani mtu anayewaelezea maisha baada ya kifo, Samia unakosea sana kugombanisha Dini na Serikali, labda ni suala la exposure, bila Dini hakuna Serikali, unakaribisha Anarchism, Kabla ya kumuua au kumkamata Gwajima unatakiwa uue bindamu kadhaa ambao kwa hiari yao wamekubali kuwa Human shields, kama unadhani hii vita ni rahisi tazama vita kati ya Hamas-Israel, watu wako tayari kuishi na maiti ndani ila sio kuruhusu Jeshi la Israel liwafikie viongozi wao, wamekufa zaidi ya watu 50,000 kwa mabomu na njaa lakini wamesema hawatamaliza vita bila kauli ya viongozi.

Samia hili ni suala la Gwajima ukitumia Nguvu, Kanisa Katoliki litaingia upande wa Gwajima, then itatokea civil disobedience, mwisho serikali yako haitafanya kazi, wanaokulinda watagoma, wanatoa misaada watasitisha utabaki peke yako, Rais Samia tafadhari usiingie kwenye huu mtego wa Kugombanisha Serikali na Dini.
Washa

Ukiona mtu anakushauri mambo ya kijinga na wewe unakubaliana, ujue na wewe ndivyo ulivyo! Washauri wake wasilaumiwe tafadhari, wamefanya kazi yao vizuri.
 
sikio la kufa halisikii dawa,...ngoja muda ufike...
 
Akifa Rais nafasi yake inachukuliwa na nani?
Dah!! Kwann tokea afariki magufuli mnatamani kila Rais afe akiwa madarakani?

Kufa wala sio adhabu ni njia ya kila mtu kupita.....Mungu akitaka kumuadhibu mtu muovu ana njia nyingi sana sio kifo
 
Ni ngumu sana wao kuona bosi, yaani ni vigumu sana tena sana. Ila mwisho wa siku nikikumbuka Dkt Magufuli alimnyang’anya passport Askofu Newumugizi yule wa Ngara kiasi kwamba askofu alikosa kufanya mambo mengi kitaifa ila Dkt Magufuli akafa kifo cha ajabu, nadhani tukiwa viongozi tutambue ni kosa kubwa kupambana na mambo ya dini kutumia nguvu. Of course tuna tofautiana ila mwisho wa siku Mungu anaposimama hakuna wa kupinga. I strongly believe hii kitu will never go bure bure.
Na huyo Askofu ndiye aliendesha Misa ya mazishi yake
 
Back
Top Bottom