Rais Samia baadhi ya washauri wako wanataka kuangusha Serikali yako kupitia Wananchi

Rais Samia baadhi ya washauri wako wanataka kuangusha Serikali yako kupitia Wananchi

Hakuna cha kushauriwa vibaya wala nini. Leo akiambiwa ale poop kisa washauri wamesema atakula? Ni yeye mwenyewe anaona nchi hii ni mali yake. Wakati kuna bibi na babu zetu walipambania hii nchi mpaka yeye kaikuta.
 
kwa ile mipasho ya kwenye mkutano mkuu, hata kama anashauriwa vibaya ila na yy kashalewa madaraka, anaona hakuna wa kumfanya lolote, she is here to stay.
Nilishangaa sana Rais unapoteza mda wako kumjibu Gwajima huyu wanamtegenezea ajali za kisiasa Lowassa na Richmond mwisho wa siku Uwaziri mkuu ukaishia hapo
 
Tulimwambia amezungukwa na fisi akiwemo yule mmiliki wa mabus na keshajaa 18 hawezi kutoka kwenye matrix.
Huwezi ongoza ndege ukiwa ndani
 
Kanisa katoliki lenyewe lishaudhika kwa kutuma watu wakamuue kitima Mungu akamnusuru liudhike mara ngapi.
Ukigusa dini umegusa mkono wa Mungu.
 
Katika kosa kubwa alilofanya ni kumuweka lisu ndani angeshinda kila laini sana unajua watz walishaachana na mambo ya siasa angeshinda kilaini sana.
Kumuweka lisu ndani, ufisadi,utekaji na mauaji ndo kama vimewaamsha watz.
Mbona walikuwa wanashinda kiulaini tu.
Wao wangewaacha upinzani watapetape wananchi walikuwa hawana hata mpango rejea upokezi wa maandamano wangapi walijitokeza ni wachache.
Sasa hivi ni kama wanaamsha watz hili la Kanisa sasa ndo litawasha petrol zaidi.
Kwa wataalamu wa kiroho utawala umefika mwisho.
Usimwage damu yeyeto isiyo na hatia Wana wazazi Wana ndugu yale machozi yanapenya outer world na lazima yapay back ya Azory ipo wapi si ilishajibu.
Ngoja ya mdude huwezi ukatempa na laws of nature kupitia mizizi itaback fire tu
 
Leo wakt nimelala nilipata ndoto moja ambayo sikuielewa ,labda watafisiri wa ndoto nisaidieni
Niliona gari kubwa kama Yale magari yanayotumika kuchanganya zege lenye Tanki kubwa lenye mfuniko mweusi wa plastic na ndani ya Hilo tank kulikuwa na samaki kule kanda ya ziwa wanawaita kamongo ni samaki mmoja mrefu na mwenye mabaka mithiri ya mambo na meno makari
Sasa Hilo gari lilikuwa kwenye mwendo wa taratibu lakini mfuniko wa tank ulionekana kutikisika na ghafla ulifunguka na wale samaki walimwagika chini na kuanza kusambaa majini
 
Hii mambo ya washauri yameanza kutajwa awamu hii. Tusijifiche kwenye washauri maana haina logic ukisema washauri
 
Leo wakt nimelala nilipata ndoto moja ambayo sikuielewa ,labda watafisiri wa ndoto nisaidieni
Niliona gari kubwa kama Yale magari yanayotumika kuchanganya zege lenye Tanki kubwa lenye mfuniko mweusi wa plastic na ndani ya Hilo tank kulikuwa na samaki kule kanda ya ziwa wanawaita kamongo ni samaki mmoja mrefu na mwenye mabaka mithiri ya mambo na meno makari
Sasa Hilo gari lilikuwa kwenye mwendo wa taratibu lakini mfuniko wa tank ulionekana kutikisika na ghafla ulifunguka na wale samaki walimwagika chini na kuanza kusambaa majini
Wewe umesononeka sana au umeshikwa na mawazo kuhusu hali ya sasa, lakini ukweli ni kwamba hakuna jipya hapo. Watanzania wengi wanaishi na msongo wa mawazo kwa sababu ya ugumu wa maisha na ukosefu wa usawa, lakini wanabaki kimya. Wananyanyaswa, wanakandamizwa, na hawana amani ya ndani. Kichwa chao kinajaribu kuelewa yote hayo, halafu mnakuja na ndoto za 'unabii' na mengine, wakati ukweli ni kwamba mambo hayo yote tayari yanatokea sasa.
 
Here we go again with the ‘her advisers’ bullshit as if she’s no mind of her own!
Mimi siku zote nakataa swala la mtu kushauriwa vibaya.

Hata mke wangu akinipa idea ya kijinga huwa napiga chini hiyo idea, sasa iweje Presidential level tuwasingizie washauri kwahiyo hapo ikulu limekaa boya?

Bora hata ya Museven yeye ndio huwa anawashauri washauri wake.
 
kwa ile mipasho ya kwenye mkutano mkuu, hata kama anashauriwa vibaya ila na yy kashalewa madaraka, anaona hakuna wa kumfanya lolote, she is here to stay.
Siyo madaraka tu, hata mtungi anapiga sana.
 
Back
Top Bottom