Hakuna sababu ya kuandika kirefu juu ya mada kama hii.
Mleta mada, kama walivyo wengine wote wanaotetea viongozi wa aina ya Samia, anataka wasomaji kwamba Samia ni mpokeaji tu wa USHAURI, toka kwa hao wanaomzunguka. Huwa sielewi kwa nini lawama huelekezwa kwa washauri, na kuwaona washauriwa kama 'victims' tu wa ushauri mbaya.
Sasa ni hivi mkuu 'Stormryder', Mpishi na mlaji wa haya yote ni huyo huyo unayetaka kumwondolea lawama.
Alipokuwa anacheza mchezo wa ulaghai, kabla ya yote haya, uliwasifu hao washauri kwa ulaghai wote wa wakati ule?
Kinachozikitisha zaidi na mada yako hii, ni kama bado unayo matumaini ya kutoa ushauri kwa huyo huyo anayeshauriwa vibaya; hata kudiriki kudhani kuwa serikali hii iwepo hadi 2030, kweli?
Maswala ya dini, nayo ni upotoshaji tu! Akina Idd Amin Dada walidunda tu hadi walipofurumushwa kwa sababu tofauti kabisa. Na mifano mingine mingi ipo. Hii haina maana kwamba kwa hapa Tanzania itakuwa rahisi kwa Samia kunyamazisha dini. Kuna mambo mengi ambayo yanaifanya serikali ya Samia kuwa inaelekea ukingoni sasa hivi, hata bila dini kuhusika.
Samia's administration is doomed.