MlimaSayuni
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 7,285
- 13,703
Tafadhari kila mmoja asambaze uzi huu Kila mahali kwenye Magroup ya WhatsApp na mitandandao ya Kijamii Nafahau Samia unaweza Kusoma taarifa, Washauri wanaomtakia mema Samia na Washauri wasiomtakia mema Samia.
Rais Samia analazimishwa kucheza Karata mbaya za kisiasa, Katika Washauri wa Karibu kuna uwezakano mtu/watu fulani wanamfanya Samia awe anafanya rash political moves, Wapinzani wa Rais wa ndani CCM/Serikali wanaojifanya wako upande wa Rais na wenye nguvu wanatengeneza mazingira magumu ya Serikali yako kufika 2030 salama.
Suala la kumprovoke Gwajima linaonekana ni la Makusudi na lililoandaliwa ili Gwajima amjibu Rais, hili uamuzi usio sahihi ufanyike ionekane ni Serikali ya Samia
Kesi ya Tundu Lissu imeitisha hisia, macho na Masikio mengi nje na ndani ya Taifa, Samia Usipokuwa makini Serikali yako itafanya Mauaji ya Kimbari kwa sababu za Kijinga.
Watu huwa hawshindani na Dini Duniani/Imani, huwezi uka-control watu wanamuani mtu anayewaelezea maisha baada ya kifo, Samia unakosea sana kugombanisha Dini na Serikali, labda ni suala la exposure, bila Dini hakuna Serikali, unakaribisha Anarchism, Kabla ya kumuua au kumkamata Gwajima unatakiwa uue bindamu kadhaa ambao kwa hiari yao wamekubali kuwa Human shields, kama unadhani hii vita ni rahisi tazama vita kati ya Hamas-Israel, watu wako tayari kuishi na maiti ndani ila sio kuruhusu Jeshi la Israel liwafikie viongozi wao, wamekufa zaidi ya watu 50,000 kwa mabomu na njaa lakini wamesema hawatamaliza vita bila kauli ya viongozi.
Samia hili ni suala la Gwajima ukitumia Nguvu, Kanisa Katoliki litaingia upande wa Gwajima, then itatokea civil disobedience, mwisho serikali yako haitafanya kazi, wanaokulinda watagoma, wanatoa misaada watasitisha utabaki peke yako, Rais Samia tafadhari usiingie kwenye huu mtego wa Kugombanisha Serikali na Dini.
to be fair I don't know Why all of these are happening, Goverment need a Religion/Cult to function otherwise it fallsHere we go again with the ‘her advisers’ bullshit as if she’s no mind of her own!
It’s not Samia. It’s her advisors.to be fair I don't know Why all of these are happening, Goverment need a Religion/Cult to function otherwise it falls
na wanachi wamefunga barabara ya kutoka mjini kwenda kimara hawa sasa sio waumini ni wananchiWanalidharau Ksnisa la Ufufuo. Ila kana wafuasi wake wakiamua kulianzidha sijui kama wataweza kuwazuia.
no she can't beIt’s not Samia. It’s her advisors.
She’s an angel.
Ndio maana naona kuna watu wanatafuta namna ya Samia apinduliwe au aachie nafasi yakena wanachi wamefunga barabara ya kutoka mjini kwenda kimara hawa sasa sio waumini ni wananchi
Sijui kama Lucas Mwashambwa analijua hili!Muda wake umeisha achana nae..huyo
Alipata divisheni ngapi kwani?Here we go again with the ‘her advisers’ bullshit as if she’s no mind of her own!
Wanataka Samia atoke madarakaniSema zinafanyika moves za kitoto hadi unashangaa. Yaani jana Gwajima kakutembezea spana leo unafunga kanisa.
Na vyombo vya habari siku mbili hizi vinaripoti habari kama ilivyo. Yani hii habari inaonesha kabisa kafungiwa kanisa kutokana na kukemea vitendo vya utekaji.View attachment 3354153
huyu si kajaza mavi tu kchwani mwakeSijui kama Lucas Mwashambwa analijua hili!
kwa ile mipasho ya kwenye mkutano mkuu, hata kama anashauriwa vibaya ila na yy kashalewa madaraka, anaona hakuna wa kumfanya lolote, she is here to stay.Wanataka Samia atoke madarakani
Washauri wake wote hawamtaki, washamchoka na ndiyo maana wanamshauri kuwa dikteta ili tu wananchi wamsuse kama ilivyo sasa, kabakiwa na wasanii tu ambao nao wanamsupport kwa sababu wanalipwa na si kuwa wanampenda. Subiri aanguke, hao hao watamcheka na kumponda wakijuwa hatawateka na kuwang'oa kucha bila ganzi.Tafadhari kila mmoja asambaze uzi huu Kila mahali kwenye Magroup ya WhatsApp na mitandandao ya Kijamii Nafahau Samia unaweza Kusoma taarifa, Washauri wanaomtakia mema Samia na Washauri wasiomtakia mema Samia.