Rais Samia baadhi ya washauri wako wanataka kuangusha Serikali yako kupitia Wananchi

Hakuna sababu ya kuandika kirefu juu ya mada kama hii.
Mleta mada, kama walivyo wengine wote wanaotetea viongozi wa aina ya Samia, anataka wasomaji kwamba Samia ni mpokeaji tu wa USHAURI, toka kwa hao wanaomzunguka. Huwa sielewi kwa nini lawama huelekezwa kwa washauri, na kuwaona washauriwa kama 'victims' tu wa ushauri mbaya.

Sasa ni hivi mkuu 'Stormryder', Mpishi na mlaji wa haya yote ni huyo huyo unayetaka kumwondolea lawama.

Alipokuwa anacheza mchezo wa ulaghai, kabla ya yote haya, uliwasifu hao washauri kwa ulaghai wote wa wakati ule?

Kinachozikitisha zaidi na mada yako hii, ni kama bado unayo matumaini ya kutoa ushauri kwa huyo huyo anayeshauriwa vibaya; hata kudiriki kudhani kuwa serikali hii iwepo hadi 2030, kweli?

Maswala ya dini, nayo ni upotoshaji tu! Akina Idd Amin Dada walidunda tu hadi walipofurumushwa kwa sababu tofauti kabisa. Na mifano mingine mingi ipo. Hii haina maana kwamba kwa hapa Tanzania itakuwa rahisi kwa Samia kunyamazisha dini. Kuna mambo mengi ambayo yanaifanya serikali ya Samia kuwa inaelekea ukingoni sasa hivi, hata bila dini kuhusika.
Samia's administration is doomed.
 
Tumia lugha ya alama.Kiziwi.
 
Ni ngumu sana wao kuona bosi, yaani ni vigumu sana tena sana. Ila mwisho wa siku nikikumbuka Dkt Magufuli alimnyang’anya passport Askofu Newumugizi yule wa Ngara kiasi kwamba askofu alikosa kufanya mambo mengi kitaifa ila Dkt Magufuli akafa kifo cha ajabu, nadhani tukiwa viongozi tutambue ni kosa kubwa kupambana na mambo ya dini kutumia nguvu. Of course tuna tofautiana ila mwisho wa siku Mungu anaposimama hakuna wa kupinga. I strongly believe hii kitu will never go bure bure.
 
Here we go again with the ‘her advisers’ bullshit as if she’s no mind of her own!
The recurring narrative that shifts agency to ‘her advisers’ subtly undermines her capacity for independent thought and decision making often intentionally so.”



 
Uko sahihi mkuu ndiyo maana hata alipotaka kutamka tusigwajimanize chama kuna kikaratasi kilikuwa pembeni yake alikisoma kwanza ndiyo akatamka hilo neno. Ina maana ni kitu alichoshauriwa akiseme.
 
Yule mwanachama mwenzetu alisema "Nchimbi afanye utafiti wa hali ya chama huko mtaani" baadhi ya wenzetu wasiopendezwa na hali ilivyo wanaingia bettle dhidi ya maamuzi usiku
 
Serikali vs Gen Z wa Kenya
 
Here we go again with the ‘her advisers’ bullshit as if she’s no mind of her own!
I'm really frustrated by this narrative, there’s a clear double standard at play here, possibly because she’s a woman. When her predecessor did essentially the same things, no one was talking about 'his advisers' being the problem. If she can’t evaluate the advice she’s given and determine what’s best for the country, then we have to question her analytical abilities as a leader. That would make her appear incompetent. As the saying goes, 'While intelligence is becoming artificial, stupidity remains original', and unfortunately, that seems relevant in this case.
 
Wananchi gani? Hakuna wahuni wataachwa salama.

Nani huyo aanze civil war kisa Gwajima?

Hilo kanisa lako linashikilia Dola? Kwamba Hilo kanisa lako litaleta vita ? Serikali ianze na yeyote atakayenyenyua mdomo wake kuhimizanuvunjifu wa amani.

Hakuna atakayekubali ule ushenzi wa Hilo kanisa lenu kule Rwanda.
 
Kama Taifa tupo vizuri kwenye right track na tunasonga mbele pamoja gentleman 🐒
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…