Rais Samia baadhi ya washauri wako wanataka kuangusha Serikali yako kupitia Wananchi

Siyo madaraka tu, hata mtungi anapiga sana.

Hivi kama Waumini wote wa Gwajima, hata 20000 tu wakiamuà kukiwasha hivi moto wake watauweza kweli? Hawa watu huwezi kuwafananiasha na Chadema. Hawa tayaei wako brainwashed. Gwajima akitangaza wataitikia.
 
Tena wanaami I kwamba wananchi wamelala usingizi wa pono
 
Here we go again with the ‘her advisers’ bullshit as if she’s no mind of her own!
Her so called “advisors”, they intentionaly advice her so she can to trash her own image in the eyes of publick

They are setting her up and she has no idea, because well she doesnt think and not smart at all
 
Ameshawapiga Wakatoliki sasa ni zama ya Wafufuo. Sijui anaefata nani?
 
Wasanii wenyewe ni hawa
 

Attachments

  • aa6b72a3279c09cf91845c603669021e.mp4
    44.9 MB
We poyoyo umeandika upuuzi, huna uwezo wa kimshauri Rais ujinga uliouandika. Hakuna serikali ya hovyo ikaacha kumshughulikia mpuuzi anayetumia kanisa kumtukana Rais, kupandikiza na kueneza chuki km ipo siyo Tanzania. Huyo tapeli atashughulikiwa inavyotakiwa hao waliomtuma wajitokeze kumsaidia. Hongera sana serikali yangu tukufu ningeshangaa angeachwa avunje sheria na taratibu za nchi yetu. Nyie wapumbavu hamtafanikisha ujuha na ushetani wenu
 
We bwege umeandika uchafu unaonuka
 
Cjui km atakuelewa
 
na wanachi wamefunga barabara ya kutoka mjini kwenda kimara hawa sasa sio waumini ni wananchi
Dah,
Mbuyu huchipua kama mchicha.
Kama kuna kitu rahisi kuondolea watu uoga, ni imani yao.

Kwenye sakata hili shujaa ni Gwajima, maana inaonekana anaonewa kwa kusemea janga sugu la taifa la sasa dhidi ya wanyonge, - UTEKAJI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…