#Free SabayaSauti ya Mbowesiogaidi haisikii
ccm ilishakufa kitambo au ife mara ngapi? Hata hiyo 2015 na 2020 mgombea Urais wa ccm hakushinda!Magufuli ni Musa wa Zama hizi!
Magufuli ni Mtume na Nabii.
Kama siyo yeye CCM ingekufa 2015!
Kamtuma Zitto anademka demkaSauti ya Mbowesiogaidi haisikii
Ukiacha blaah blaah utajua nini cha kufanya kwenye ballot boxPorojo tu hizo. Magufuli ndio alimwambia atukimbize wamachinga mpaka tunajuta kuzaliwa?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kamtuma Zitto anademka demka
Acha kuchekesha mdau, ballot box wala hawaijali wao.Ukiacha blaah blaah utajua nini cha kufanya kwenye ballot box
Kama wewe akili yako inakutuma vinginevyo utasubiri sana.Kama hii ndiyo akili yako utasubiri sana
Ni kweli kwa kutumia jeshi ,polisi, usalama Na kuiba kura , bila hivyo CCM ni walking dead zamani sanaMagufuli ni Musa wa Zama hizi!
Magufuli ni Mtume na Nabii.
Kama siyo yeye CCM ingekufa 2015!
Magufuli was a great man.
Hayati Magufuli mwana mageuzi harisi wa kizazi hiki.
Viongozi wote wa Africa walikuwa wanajifunza kwake.
Anaanza kuona bila ya Magu (R.I.P) hawezi toboa, na bado ndo mwanzo tu!
Kwamba sasa hivi hawauwawi?Alikuwa mwalimu wa wizi Na kuuwa watu
Pole mkuu umekula banSafi sana mama
Kwamba sasa hivi hawauwawi?
Au kwa vile wana siasa wanalambishwa asali ili watulie?
Hata Chacha wangwe alipotezwaSi utwambie nani kapigwau risasi , au kapotea hivi sasa ?