Rais Samia: Bado ninaisikia sauti ya Hayati Magufuli akiniambia kuhusu miradi na Dodoma kuwa Makao Makuu

Rais Samia: Bado ninaisikia sauti ya Hayati Magufuli akiniambia kuhusu miradi na Dodoma kuwa Makao Makuu

Magufuli ni Musa wa Zama hizi!

Magufuli ni Mtume na Nabii.

Kama siyo yeye CCM ingekufa 2015!
Ni kweli kwa kutumia jeshi ,polisi, usalama Na kuiba kura , bila hivyo CCM ni walking dead zamani sana
 
Itungwe sheria, viongozi wote wa umma tusiwaone hapa DSM kupunguza gharama za to & fro kama kweli wana nia njema ya kuufanya Dodoma kuwa mji mkuu wa Kiserikali.
 
Back
Top Bottom