Rais Samia, bado RC Chalamila na RC Hapi

Naunga mikono na miguu hoja
 
Aliteua vihuni vya mitaani mradi vinajua kusifu na kumwabudu.
Chalamila alidiriki kusema CCM sasa iwe Chama Cha Magufuli.

Sijui alivitoa wapi.
 
Tatizo si kuondoka Mbeya, tatizo ni Chalamila mwenye upeo wa kufikiria bajaji as a way of mass transport zkatika jiji lolote nchini.
Hilo ndio tatizo la kuchukua watu wasio na exposure, watu wa vijijini kuendesha miji.
Chalamila ndio kapanga au watu wa jiji?
 
Tofautisha vichekesho vya kuchombeza na hoja za msingi,acha chuki zako za kijinga.Kama ni kukosa maadili hakuna kati yao ambae alimzidi JPM kwa kuropoka hovyo,kutukana watu,kudhalilisha watu,wanawake,walifikwa na maafa na kuongopa hadharani.Hayo yaliendana na mtu aliyekuwa ofisi kuu.

So far hakuna hoja serious ya kimaadili,kuvunja kiapo chake au kushindwa kusimamia maendeleo,kwa hiyo tafuta excuses zingine.Mbeya kuwa na RC dizaini ya Makala fisadi na asiyeweza kuwajibika ilikuwa hasara ila Chalamila kaiweza vizuri,watu jeuri wapelekee mtu jeuri.

Nilichomkubali Chalamila ni kudhibiti ubadhirifu hapo mkoani na hacheki na nyani
 
Madudu yake mengi Sanaa ukiteuliwa kuchaguliwa kuwa kiongozi usijidai mtawala
Madudu gani si myalete hapa? RC wa Geita katuhumiwa live bungeni kwa kuiba pesa za mgodi ,huko Mbeya uliwahi sikia lini Chalamila katuhumiwa kwa ubadhirifu? kigezo kikubwa sana cha maadili na uwajibikaji
 
Mkuu, wew huna sifa wala chembe za uongonzi
Naona unajitetea kwa kasi sana. Kwanza nyie ndio mliluwa mnaleta upuuzi kwenye serikali ya hawamu ya tano
Kwa kuleta tamko pasipo kufuata sheria
 
Wewe unatosha sehemu gani? Nyie punda ndio mnaosema mara Rais hatoshi sijui nini ,maneno mengi lakini useless
We Chalamila wewe, mfupi kama kimba la asubuhi.
Na akili ni fupi hivyo hivyo.
Chama chenu cha Magufuli kimeishia wapi?
 
Mkuu, wew huna sifa wala chembe za uongonzi
Naona unajitetea kwa kasi sana. Kwanza nyie ndio mliluwa mnaleta upuuzi kwenye serikali ya hawamu ya tano
Kwa kuleta tamko pasipo kufuata sheria
Mama kawadhibiti vizuri.
Halafu huyu Chalamila ana tuhuma za kuongea kwa simu na mfu.
 
Mmeanza ukabila hii dhambi itawamaliza basi na wanyakyusa wote walioko nje ya mbeya nao warudi kwao Mbeya si ndo mnavyotaka.wanyakyusa mmezoea ukabila wakati nyie mmejazana mikoa ya watu na nyie muondolewe mkakae kwenu mwanjelwa na kwa mama john
Mkuu hue,ewi mada hata kidogo.
Mbeya imdharauliwa sana kuletwa mtu mwenye upeo mdogo sana kama Chalamila.

Pengine hukumbuki au hujui maana hukuwepo.
Enzi ya Mwalimu aliwahi kuwepo Mkuu wa Mkoa Mzee Mohammed Kissoky, mtu mstaarabu sana na anakumbukwa vizuri.
Aliwahi vile vile kuletwa msomi mstaarabu Mkuu wa Mkoa Abbas Kandoro.
Naye mtu wa hekima na mipango.
Wote hao walikuwa watu toka Iringa.
Kwa hiyo ukabila unaousema unatokana na uelewa wako mfupi.
 
Sasa Chalamila ana tatizo gani? Mbona anachapa kazi Kwa weledi kabisa? Weka hapa tuhuma ulizonazo dhidi ya Chalamila.
Huna tatizo mkuu, ila hutoshi!
Watu wanafikiri ni majungu.

Hapo majuzi habari zilizotufikia bongo, kuna kiongozi mwandamizi kaja mkoani kwako, weye hayupo.
Ilikuwa hivi, viongozi wengi walienda Dodoma kumsikiliza hotuba ya Mama Samia Bungeni.
Waziri Mwandamizi akadamka mapema sana kwenda Mbeya kwa shughuli za kikazi.

Waziri yupo, Mkuu wa Mkoa hayupo!
Bad image!
Hapo Mkuu wa Mkoa angeweza kueleza kero za Mkoa kwa ufanisi, lakini hayupo.
Mkoa wa Mbeya Awamu ya Tano haikutembelewa na viongozi wengi.
 
Nchi hii chuki haitatufikisha popote.... Watu wana chuki...
 
Huu mwaka si wenu. Hao wanaofuatilia habari za kina Diamond na Zari, sijui Kajala na Harmonize huko Instagram na Twitter ni matajiri. Tulieni mkitambuwa kuwa kila zama na kitabu chake. Nukta.
 
We naye hueleweki kwani issue niliongelea ni uchapa kazi au ethics na good governance?

Makonda alikua hachapi kazi? Mbona watu walimchukia sababu ya vitu vidogo sana hasa kauli zake mfano juu ya wachagga, ombaomba, wamiliki wa vitz, wabunge kupimwa mkojo, list feki ya wauza madawa n.k shida ni ethics tu ila sio utendaji.

Hata JPM kwani alikua ''hapigi kazi'' ila kilichomfanya aanza kutengeneza chuki ni zile kauli zake ambazo sio necessary. Anafika pemba anamshangaa Shein kuweka wapinzani serikalini, mara kumlipia matibabu seif etc.

Kama ni uchapa kazi hta Sabaya ni halali kabisa aendelee kuwepo Hai, ila linapokuja suala la ethics unapisha tu from the slightest mishap!!
 
Mijitu mishamba ya madaraka haifai popote.
Mtu hana lolote ajualo kiuongozi, badala ya kutatua kero za maendeleo, yeye ni malumbano tu na wananchi.

Ukimpenda Chalamila mchukue mkanywe naye ulanzi!
Lakini kaumiliki ule mkoa vizuri tu, hakuna mkoa una mambo ya ajabu kama ule.
Labda Musoma au Mara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…