Akishaweka utamfanya nini sasaSasa Chalamila ana tatizo gani? Mbona anachapa kazi Kwa weledi kabisa? Weka hapa tuhuma ulizonazo dhidi ya Chalamila.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akishaweka utamfanya nini sasaSasa Chalamila ana tatizo gani? Mbona anachapa kazi Kwa weledi kabisa? Weka hapa tuhuma ulizonazo dhidi ya Chalamila.
Atatafuta shughuli nyingine yakufanyaHapi huko aliko pressure itakuwa inapanda na kushuka fasta sana
Naunga mikono na miguu hojaKatika awamu ya tano kuna vijana viongozi waliotia fora kutumia madaraka vibaya.
Mama Samia amewakonga mioyo watanzania kwa kumuondoa Ole Sabaya, Mkuu wa Wilaya ya Hai, aliyetia fora kwa kuongoza kwa ubabe, uonezi na uporaji.
Sasa bado viongozi wawili, RC wa Mbeya Chalamila, mtu asiye na staha wala karama ya uongozi, na RC wa Iringa, Hapi aliyewahi kuwadhalilisha wazee wa chama, kina Makamba na Kinana.
Hawa walikuwa vile vile wanatumika, lazima nao waende zao.
Aliteua vihuni vya mitaani mradi vinajua kusifu na kumwabudu.Kwa kawaida hivi vyeo vya Rc na Dc vilikuwa wanapewa waalimu wakuu waandamizi,wanajeshi waandamizi na waganga administration wakuu waandamizi yaani kwa ujumla walitoka sehemu mbalimbali kwenye nafasi za uongozi ngazi ya kati ,waandamizi wabobezi na ataa bila kupanga ilikuwa umri haupungui 36 na kuendelea ,na mwendazake tuu ndio alileta huu ukiukwaji wote huu tulioshuhudia ,
Chalamila ndio kapanga au watu wa jiji?Tatizo si kuondoka Mbeya, tatizo ni Chalamila mwenye upeo wa kufikiria bajaji as a way of mass transport zkatika jiji lolote nchini.
Hilo ndio tatizo la kuchukua watu wasio na exposure, watu wa vijijini kuendesha miji.
Tofautisha vichekesho vya kuchombeza na hoja za msingi,acha chuki zako za kijinga.Kama ni kukosa maadili hakuna kati yao ambae alimzidi JPM kwa kuropoka hovyo,kutukana watu,kudhalilisha watu,wanawake,walifikwa na maafa na kuongopa hadharani.Hayo yaliendana na mtu aliyekuwa ofisi kuu.Baseless kivipi wkt zipo documented? Hana maadili ya uongozi. Huko nje watu wanajiuzulu kwa kulike tu picha ya ngono ila huku eti mpka ashindwe kusimamia haki??
Si ndio hili liliropoka eti JPM anampa mshahara mzuri hadi kapata mchepuko!!
Mara cjui kampa DAS mrembo sana hadi anawahi ofisini n.k
Kuna more pressing issues za kuongea kwa Rais kuliko mshahara wako na mchepuko. Hvi hzi kauli zao hamuoni zina shida?
Madudu gani si myalete hapa? RC wa Geita katuhumiwa live bungeni kwa kuiba pesa za mgodi ,huko Mbeya uliwahi sikia lini Chalamila katuhumiwa kwa ubadhirifu? kigezo kikubwa sana cha maadili na uwajibikajiMadudu yake mengi Sanaa ukiteuliwa kuchaguliwa kuwa kiongozi usijidai mtawala
Mkuu, wew huna sifa wala chembe za uongonziKwa kweli watanzania tupunguze ushabiki. Unalielewa vizuri tukio unalilizungumzia?
Vijana wa kijiji cha Ngole waliharibu miundombinu ya maji iliyokuwa inafadhiliwa na Wamarekani katika kijiji cha Mashese.
Ulitaka mkuu wa mkoa akiwa kama mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa afanye nini ili kudhibiti ujinga na upambavu ule? Je huon Kama kauli na amri Ile vilimaliza mgogoro ule ambao kimsingi ungeweza kuleta maafa makubwa Kama watu wa Mashese wangeamua kujibu Mapigo?
Ee bwana ujue unatetea makapi!Chalamila ndio kapanga au watu wa jiji?
We Chalamila wewe, mfupi kama kimba la asubuhi.Wewe unatosha sehemu gani? Nyie punda ndio mnaosema mara Rais hatoshi sijui nini ,maneno mengi lakini useless
Mama kawadhibiti vizuri.Mkuu, wew huna sifa wala chembe za uongonzi
Naona unajitetea kwa kasi sana. Kwanza nyie ndio mliluwa mnaleta upuuzi kwenye serikali ya hawamu ya tano
Kwa kuleta tamko pasipo kufuata sheria
Mkuu hue,ewi mada hata kidogo.Mmeanza ukabila hii dhambi itawamaliza basi na wanyakyusa wote walioko nje ya mbeya nao warudi kwao Mbeya si ndo mnavyotaka.wanyakyusa mmezoea ukabila wakati nyie mmejazana mikoa ya watu na nyie muondolewe mkakae kwenu mwanjelwa na kwa mama john
Huna tatizo mkuu, ila hutoshi!Sasa Chalamila ana tatizo gani? Mbona anachapa kazi Kwa weledi kabisa? Weka hapa tuhuma ulizonazo dhidi ya Chalamila.
Kwani mitandao siyo wananchi? Mama ni muumini wa TEHAMA.Akisoma huu uzi bila shaka atafanya hivyo. Maana anaendeshwa pia na mitandao!
Huu mwaka si wenu. Hao wanaofuatilia habari za kina Diamond na Zari, sijui Kajala na Harmonize huko Instagram na Twitter ni matajiri. Tulieni mkitambuwa kuwa kila zama na kitabu chake. Nukta.Ukiona serikali iko bize kufatilia ushabiki wa mitandaoni.... Pole..... wakati huku ndipo kumejaa wezi na wazandiki wenye tamaa ya mafanikio ya haraka
Mitandaoni kumejaa chuki na unafiki,mtu analia umaskini wakati anatumia SM-J8 kucomment mitandaoni.
Umaskini upo mitaani, ukijiona wewe unatumia mitandao ya social media just upo daraja la Kati kimaisha, tuache unafiki kulia lia humu.
Serikali ifatilie manunguniko ya wananchi wa chini ambao hata kumiliki simu ya rununu kwake ni ndoto
Tusiwe washabiki watu kwa kuwanafiki wengine kwa manufaa ya mwengine
Kama mtu katenda kosa Sheria zipo wazi, tafuta ushahidi fungua shauri la kesi mahakamani, katiba na Sheria ipo wazi kwa hilo
We naye hueleweki kwani issue niliongelea ni uchapa kazi au ethics na good governance?Tofautisha vichekesho vya kuchombeza na hoja za msingi,acha chuki zako za kijinga.Kama ni kukosa maadili hakuna kati yao ambae alimzidi JPM kwa kuropoka hovyo,kutukana watu,kudhalilisha watu,wanawake,walifikwa na maafa na kuongopa hadharani.Hayo yaliendana na mtu aliyekuwa ofisi kuu.
So far hakuna hoja serious ya kimaadili,kuvunja kiapo chake au kushindwa kusimamia maendeleo,kwa hiyo tafuta excuses zingine.Mbeya kuwa na RC dizaini ya Makala fisadi na asiyeweza kuwajibika ilikuwa hasara ila Chalamila kaiweza vizuri,watu jeuri wapelekee mtu jeuri.
Nilichomkubali Chalamila ni kudhibiti ubadhirifu hapo mkoani na hacheki na nyani
Lakini kaumiliki ule mkoa vizuri tu, hakuna mkoa una mambo ya ajabu kama ule.Mijitu mishamba ya madaraka haifai popote.
Mtu hana lolote ajualo kiuongozi, badala ya kutatua kero za maendeleo, yeye ni malumbano tu na wananchi.
Ukimpenda Chalamila mchukue mkanywe naye ulanzi!