Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,178
- 39,641
Haka kamama kana ujinga sana muda mwingine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi mtu analinganisha kichuguu na Mlima! Purchasing power ya USA inalinganishwa na TZ kweli?Hapo ndo mnakosea kumleta Magufuli wakati na yeye alikuwa Msanii
Watu wengine mnavyo viongea hata hamuelewi,msomege someone hata historia ya vyama vingi,kama Nyerere angefuata utaratibu wa sanduku la kura leo vyama vingi visingekuwepo, aliye force vyama vingi ni Nyerere.Wa kulaumiwa Ni Nyerere...kwanini hakuwapa CCM utamaduni wa kuogopa sanduku la Kura?
kuWewe ni takataka tu huna la kumfanya!
Si wewe unakata viuno humu kwamba unapumua baada ya kuonewa sana kwa miaka 5?
Kule Arusha alikuja na style mpya ya kupima kiwango cha umaskini, anaheshabu matunda wanayokula wamang'ati!Huyu Rais huyu nahisi kuna kitu hakiko sawa....
So what?...yaani hii ndio justification..aisee
Ok yeye anasaidiaje katika hili?....
Kuwa kiongozi sio lelemama....
Hatari sana
Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3]
Kuna kipindi hata Chawa hujiweka pembeni liinapofika suala la maslahi ya taifa.Alikua muuaji wa kweli,
Ndio maana nakuita takatakaYes. Huwezi kupuuza Uhuru na haki vilivyotamaliki sasa ukalinganisha na wakati wa shetani.
Of course hata mm natania tu. 2025 mama lazima apigwe mitano Tena.
Haya mafuta ni suala la muda tu. Halafu siyo kosa lake
ku
Kwamba umeme unakatika ovyo New York! Labda kama tunaiita Mbagala New York.Rais Samia katika kuwajibu wale wanaolalamika kua bei ya mafuta ni kubwa sana amesema hiyo bei ni ndogo sana hasa ukilinganisha na bei ya mafuta Marekani.
Rais anasema juzi alikua Marekani akakuta bei ya mafuta iko juu sana kuliko Tanzania.
Hayo Rais ameyasema leo hii kwenye kipindi cha mahojiano na Tido Mhando.
Juzi pia Rais akiwa Arusha alisema kua watu wanapenda kulalamika umeme ukikatika kidogo tu wakati hata New York umeme unakatika tu hata kuliko Tanzania.
Na bado!Huyu Mama toka aingie madarakani hajawai kua mtetezi wananchi akisikia malalamiko ya wananchi uwa anakuja na kauli za kukandamiza tu wananchi wake...
Huna uwezo wa kumtoa mama samia madarakani .....Huyu mama ashauriwe ili awe ananyamaza. Vinginevyo 2025 hatoamini macho yake
Petrol/ Gas ni 3.95 per Gallon mpaka 4.2 per Gallon. Diesel ndio $5 per gallon.Wastani wa kipato cha Mtanzania mmoja kwa mwezi 500K na litre ya mafuta ni Tzs 3,184 wakati wastani wa kipato cha Mmarekani wa hali ya chini ni 11M kwa mwezi wakati gallon ya mafuta ambayo ni sawa na litre 3.4 ni USD 5.
Sasa hapo nani mwenye nafuu?
Ipo Chato siku hizi banaYa biharamlo? 😁