Rais Samia: Bei ya mafuta Tanzania ni rahisi kuliko Marekani

Rais Samia: Bei ya mafuta Tanzania ni rahisi kuliko Marekani

Hapo ndo mnakosea kumleta Magufuli wakati na yeye alikuwa Msanii
Tuwasamehe bure, fikra zao zimekomea hapo, ndicho kiwango cha ukomo waujinga wetu. Alifanikiwa kuwafungia ndani na kuwa mwonaji wao, hawakuona kama hakuona, hawakujua kama yeye hakujua. Sasa mwonaji kafa, nao wamekufa maana hawaoni wa hawana walijualo, hasara kuliko aliyekufa akazikwa kwani huyo hali wala hatumii huduma yoyote ya kodi zetu.
 
Hayo ndio matunda aloyoleta alipoenda USA!

Alipofika tu akasema kule nmeona mafuta wanauza bei juu sana kwa hiyo hata hapa kwetu pandisheni kwa sh. 300 nzima.

Yote hii inatokea sababu anaongoza watu wapumbavu
 
Wastani wa kipato cha Mtanzania mmoja kwa mwezi 500K na litre ya mafuta ni Tzs 3,184 wakati wastani wa kipato cha Mmarekani wa hali ya chini ni 11M kwa mwezi wakati gallon ya mafuta ambayo ni sawa na litre 3.4 ni USD 5.

Sasa hapo nani mwenye nafuu?
Mama anawakomesha mataga na sukuma gang, huku akiwafuta machozi machadema na zitto na wakati huohuo wakipumua baada ya kuonewa sana kwa miaka 5
 
Mimi nasema kazi iendelee. Crimea anafurahi sana akisikia kauli kama hizi toka kwa mama. Utadhani kwao siyo Bwanga
Mama anawakomesha sukuma gang na marehemu huku akiwafuta nachozi machadema na zitto na wakati huohuo wakipumua baada ya kubanwa sana kwa miaka 5
 
Huyu ndiye tunataka aendelee mpaka 2030?? Hakuna Rais hapa, zero, sifuri, empty set..
 
Back
Top Bottom