N
Njia ni nyingi ndugu, No1.kubwa zaidi ni kupunguza au kufuta baadhi ya Kodi ktk Bei ya mafuta. Ktk kila Lita moja ya mafuta Kuna Kodi zaidi ya 15. No.2. Ni bulk purchasing. Au kuinunua mafuta Kwa wingi na kutunza ktk maghala kudhibiti mfumuko na kudhibiti uhaba. No 3. Ni kuinunua mafuta crude au mazito na kuja kuyasafisha huku, mafuta hayo ni Bei mdogo. No.4 Ni kuzuia viongozi wa Serikali kumiliki vituo vya mafuta. Hapa tunavyolalamika nakuhakikishia Kuna watu pesa kwao zinaingia Kwa mabilioni. Kuna kiongozi mmoja ana vituo vya mafuta Nchi nzima havina idadi. Unadhan Bei itapoa? KATIBA MPYA ndo inaandikwa hivyo maana ndo itatatua hayo.