speech
JF-Expert Member
- Mar 4, 2022
- 484
- 1,266
Tukiangalia kwa google.. Marekan mafuta litre 1.. Ni chini ya dollar moja.... Sasa hapo nashindwa kuelewa Mama alikuwa marekani ya wapi...??
Enewei, ngoja niendelee kuangalia Viking tu...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Enewei, ngoja niendelee kuangalia Viking tu...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Rais Samia katika kuwajibu wale wanaolalamika kua bei ya mafuta ni kubwa sana amesema hiyo bei ni ndogo sana hasa ukilinganisha na bei ya mafuta Marekani.
Rais anasema juzi alikua Marekani akakuta bei ya mafuta iko juu sana kuliko Tanzania.
Hayo Rais ameyasema leo hii kwenye kipindi cha mahojiano na Tido Mhando.
Juzi pia Rais akiwa Arusha alisema kua watu wanapenda kulalamika umeme ukikatika kidogo tu wakati hata New York umeme unakatika tu hata kuliko Tanzania.