Rais Samia: Bei ya mafuta Tanzania ni rahisi kuliko Marekani

Rais Samia: Bei ya mafuta Tanzania ni rahisi kuliko Marekani

Screenshot_20220504-105711_WhatsApp.jpg
 
Vitu vya facts huwa anapishana navyo Sana. Kama Jana alikua anakataa Tanzania hatuishi kwa dola moja, Sasa sababu alizotoa unaweza zimia.
Pale ndio niliona mama uwezo wake wa akili ni mdogo sana.

Anang'ang'aniza eti Tanzania haiishi kwa chini ya dola moja kisa wanakula asali na matunda ambayo Marekani yanauzwa bei ghali zaidi ya dola moja.

Hata hao aliokua anaongea nao hayo huko Marekani watakua walishika kichwa wakaamua kunyamaza baada ya kuona Tanzania tumepigwa na kitu kizito kichwani.
 
Kumbe Viongozi wetu wanaangalia Mataifa makubwa alafu wanatupimia uwezo sisi wananchi !!!!!

Kweli mwenye kushiba hamkumbuki mwenye njaa Magufuli lala salama baba. Wewe ulikua Mzalendo wa kweli.
Huwa wanatupima pale tu wanapotaka ku-justify mambo yao ila kuna issue ukijaribu kulinganisha wanakuja na jina lao lililozoeka la hao ni mabeberu.
 
Mimi nimeomba maneno halisi aliyoyasema huyo Rais, mpaka sasa sijayaona.
Huwezi kupewa, tatizo ni group of haters.

Mama ana exposure ya kutosha, amepiga shule UK halafu kuna wachamba wima wanaomchukulia powa kuzani hana uelewa wa mambo ya first world.
 
Mtakuwa mnamsingizia Rais hawezi ongea hivyo
Yani alinganishe bei ya Mafuta ya marekani na hapa bila kuoanisha uchumi wa hizi pande mbili?
Siamini. Kama ni kweli ametamka hili basi anapaswa kuwa mama wa nyumbani na si Rais wa nchi
Na hata akiwa mama wa nyumbani lazima awe Single mother.
Aseee watu mna matusi ya rejareja,nimecheka sana.
 
Bwana uturehemu hatutarudia tena hii dhambi kuitenda[emoji26]
 
Utatuzi gani unaoutaka wewe? Kwani kuendesha Nchi ni ishu ya mafuta pekee? Hilo la mafuta lipo Tanzania tuu?

Wewe mwenye maarifa tupe utatuzi.
Hapa tunazungumzia mafuta brother,solution zipo kibao katika tozo zinazotozwa katika mafuta inabidi zinginze waziondoe kushusha gharama za mafuta.Yeye kama kiongozi inabidi atafute maeneo mengine ya kupata mapato ya Serikali baada ya kuondo hizo tozo katika mafuta,na ni bora uongeze kodi katika bidhaa au huduma ambazo tuna comparative advantage.

Malalamiko haya yaote ni kwa kuwa uchumi wa Wananchi wengi ni mdogo kuliko uwezo wao wa kununua-kwa kuongeza gharama za mafuta juu unaongeza bei za bidhaa na huduma na mwisho unashusha uzalishaji kabisa.
 
Weka hapa solution sio blaa blaa
 
Hivi mimba inazaga complications ikifikisha wiki ngapi toka kuingia?
 
Back
Top Bottom