Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 16,879
- 31,253
Rais mstafu na Mwanae wanamiliki vituo vya mafuta kila Mkoa-unategemea nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeweka kikubwa nomesema kuna kodi nyingi katika mafuta takribani shilling 2000 ni kodi katika Lita mmoja ya mafuta-wewe huoni hapo kuna tatizo??Weka hapa solution sio blaa blaa
Kwa Mara ya kwanza nakupa like Mkuu,kuna mdau nimetoka kumwambia kuongeza bei kwenye mafuta ni kuwa uchumi wa Nchi-kama Serikali inataka mapato ya kufanya maendeleo itafute sehemu zingine hii ya kutaka msereeeko kupitia mafuta uchumi utaporomoka vibaya mno.Marekani wana uchumi mkubwa kwakua mafuta ndio bidhaa ambayo ni bei rahisi kabisa na wamefanikiwa kuifanya ibakie hivyo kwa muda mrefu.
Marekani akiona kaishiwa mafuta yupo tayari kuingia vitani popote mradi apate mafuta ya kumtosheleza.
Ana reserves za mafuta kwa miaka kadhaa.
Ana maeneo ya kuchimba mafuta ambayo hajawahi kuyagusa kabisa.
Mafuta ndio yanayoendesha uchumi wa Marekani na ndio kama damu kwenye mwili wa mwanadamu.
Rais Samia katika kuwajibu wale wanaolalamika kuwa bei ya mafuta ni kubwa sana amesema hiyo bei ni ndogo sana hasa ukilinganisha na bei ya mafuta Marekani.
Rais anasema juzi alikuwa Marekani akakuta bei ya mafuta iko juu sana kuliko Tanzania.
Hayo Rais ameyasema leo hii kwenye kipindi cha mahojiano na Tido Mhando.
Juzi pia Rais akiwa Arusha alisema kuwa watu wanapenda kulalamika umeme ukikatika kidogo tu wakati hata New York umeme unakatika tu hata kuliko Tanzania.
Rais Samia katika kuwajibu wale wanaolalamika kuwa bei ya mafuta ni kubwa sana amesema hiyo bei ni ndogo sana hasa ukilinganisha na bei ya mafuta Marekani.
Rais anasema juzi alikuwa Marekani akakuta bei ya mafuta iko juu sana kuliko Tanzania.
Hayo Rais ameyasema leo hii kwenye kipindi cha mahojiano na Tido Mhando.
Juzi pia Rais akiwa Arusha alisema kuwa watu wanapenda kulalamika umeme ukikatika kidogo tu wakati hata New York umeme unakatika tu hata kuliko Tanzania.
Kuna mahali tumekosea kama taifa!
Chifu Hangaya anafahamu mshahara wa kima chini Marekani?
Ndugu raisi angeulizwa ni lini mara ya mwisho alijaza gari lake.
Ni kweli huwezi kwenda filling station ukacompare bei ya mafuta ya developed country na za kwetu na juzi nilimsikia akicompare bei ya tunda kwa wabarabaig na supermarket ya New York. Japo ni maisha yamepanda .niko UK mwezi wa pili nililipa bill ya gas £ 45 kwa sasa nalipa £90 na hapo ni baada ya kulalamika nilikuwa nimekadiriwa £150 kama laki 4 na kitu .Huyu mama huyu !!!! ??????
Nimeishi UK, kule kila kitu gharama nguo, viatu kodi ya pango n.k. , Ila kipato changu nilichokuwa napata kule kwa wiki kwa kazi hio huku hata kwa mwaka huenda nisingepata..., (yaani hapo naongelea unskilled labor bado sijaongelea professional jobs)
Hivi haya anayasema kama siasa, kukosa uelewa au anatudharau (insulting our intelligence)
Na pia mwandishi kwa nn asingemhoji juu ya kipato kati TZ na USA sometime naonaga wanahabari chenga tu
No minimum wage for 2022 ni $ 11.5Huyu RAHISI(RAIS) ni kichaa yeye anaizungumzia nchi ambayo kiwango Cha chini Cha mshahara ni dola 7.3 kwa saa anafananisha na huku...huyu mama no kichaa Sana yaani kazi mipasho na kulembua macho.[emoji35]
Sent from my TECNO KD6 using JamiiForums mobile app
Hata mimi napatwa aibu sana kumsikiliza huyu mamaKuna wakati naona aibu hata kumsikiliza huyu mama
Mimi nimeomba maneno halisi aliyoyasema huyo Rais, mpaka sasa sijayaona.
Wewe shoga hii hapa.Huwezi kupewa, tatizo ni group of haters.
Mama ana exposure ya kutosha, amepiga shule UK halafu kuna wachamba wima wanaomchukulia powa kuzani hana uelewa wa mambo ya first world.
Mtu mwenye mentality kama hii hata dogo akiharibu "watamwambia" kweli? Au ndio watu wanaamua kupiga kimya kuona matokeo?REASONING ABILITY yake ndo inaniacha na maswali, juzi tu hapa alisema hata MAREKANI umeme unakatika kwahiyo Wadanganyika tusimsumbe Waziri Makamba...