Wewe ni takatakaWewe ni Nani? Sukuma gang?
Fuvu lako limebeba tope badala ya ubongo. Unawezaje kumlaumu Samia kwa kupanda bei ya mafuta? Kwani bei za mafuta kupanda ni sera ya Samia? Tuneieni akili basi
Nyerere aliumia ujamaa kufa...nakubaliKwa akili yako Nyerere angeendelea ungesema ni dikteta, huyo Mwinyi alificha aibu ipi? au ndio kila kitu ruksa?
Wewe umesema Nyerere aliruhusu vyama vingi sababu ya misaada.
Ila Nyerere mpaka anakufa pamoja na kuruhusu vyama vingi,msimamo wake ulikuwa ni ujamaa na kujitegemea na mpaka anakufa still bado aliumia watu kuliacha azimio la Arusha so Nyerere hakuamini kama misaada itakuwa soln ya maendeleo ya Tanzania.
Hapana ki bei USA, bei ya mafuta ipo juu, inawezekana kwa bei ya lita moja yao , hapa unapata kama lita 1.5, lakini kwa pato lao la mtu mmoja mmoja, ni nafuu kuliko ya hapa kwetu, hayo ni mambo ya kiuchumi!!huwezi tu ukasema eti mbona bei ya kitu fulani ipo juu zaidi huko kuliko kwetu, bila kuangalia factors nyingine.Sio kweli. Marekani Mafuta ni nafuu kuliko Tanzania
Bado afadhali ya mama kuliko yule kichaaNa bado!
Si mnapumua baada ya kukandamizwa sana kwa miaka 5 nyie?
Hilo ndo tatizo naliona anadhani gallon moja ni sawa ni litre mojaGharama ya gasoline Marekani ni kubwa kuliko bongo??? [emoji23][emoji23][emoji23]
Au kashindwa kuconvert gallon moja ni sawa na litre ngapi...
Mama ni mweupe hasa inavyokuja swala la mahesabuGharama ya gasoline Marekani ni kubwa kuliko bongo??? [emoji23][emoji23][emoji23]
Au kashindwa kuconvert gallon moja ni sawa na litre ngapi...
Shangaa na wewe, marekani marekani tushachokaHuyu bibi, aende TU akaishi huko Marekani maana imemjaa akilini mwake! Hovyo kabisa!
Tunaongelea gharama za maisha kupanda tangu awe rais, anaongelea Marekani [emoji848]!
Huyu Rais mshamba sana hajui kwamba crude oil si mafuta ya kula!
Hapa ndio Huwa nawadharau waandishi wa Habari wa Kibongo. Anapewa Jibu kama Hilo Naye anacheka cheka na Kulidhia Kweli kweli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Poor Poor, Wanahabari wetu kudadisi na Kuhoji hawawezi kabisaaaa, Huenda hata Maswali alipangiwa Ya Kuuliza.
Samia kumfuatilia ni vigumu sana, inabidi ujitoe akili kwanza.Alikua anasema bei ya mafuta hata Marekani ni kubwa na ni kubwa kuliko Tanzania
Kwa bei za liniSio kweli. Marekani Mafuta ni nafuu kuliko Tanzania
Rais Samia katika kuwajibu wale wanaolalamika kuwa bei ya mafuta ni kubwa sana amesema hiyo bei ni ndogo sana hasa ukilinganisha na bei ya mafuta Marekani.
Rais anasema juzi alikuwa Marekani akakuta bei ya mafuta iko juu sana kuliko Tanzania.
Hayo Rais ameyasema leo hii kwenye kipindi cha mahojiano na Tido Mhando.
Juzi pia Rais akiwa Arusha alisema kuwa watu wanapenda kulalamika umeme ukikatika kidogo tu wakati hata New York umeme unakatika tu hata kuliko Tanzania.