Rais Samia: Bei ya mafuta Tanzania ni rahisi kuliko Marekani

Rais Samia: Bei ya mafuta Tanzania ni rahisi kuliko Marekani

Je, mshahara wa Dr, mwl, nesi, tz na Marekani, ni sawa? Kama sawa tuache kulalamika! Kama tofauti tuanzie hapo!
 
Alichosema Samia kwanza sio ukweli.

Kapita barabarani Washington DC akaona vibao vya bei ya mafuta dola 4.20. Ambayo ni 9,600/=, akalinganisha na yetu 3,150/=

Samia hakujua kwamba hiyo ni bei ya galoni, mafuta Marekani wanauza kwa galoni

Na pia Samia hajui galoni moja inalingana na lita ngapi, hajui!

Kama Marekani wangeuziwa kwa lita kama sisi bei yao ingekuwa

$4.2/gallon ÷ 3.8 liters/gallon x 2,300TZS/$ = 2,500 Tsh kwa lita

Samia alinganishe 2,500/= kwa lita Marekani v/s 3,150/= kwa lita Tanzania

Bei ya Marekani is way cheaper!
 
-Serikali Ni lazima itambue,Kiuchumi huwezi kulinganisha hali ya maisha ya watu wanaoishi nchi zilizoendelea (First world Countries) na nchi maskini au zinazoendelea (Third world Countries).
-Nchi zilizoendelea pato la mwananchi kwa mwaka (Per Capital Income) ni kubwa ukilinganisha na Pato la mwaka (per Capital Income) kwa wananchi wa nchi zinazoendelea.
-Washauri wetui wa masuala ya Uchumi,wawe wanaishauri vizuri Serikali, maswali ya Tido Mhando yalitumwa mapema kwenye ofisi ya Rais,ilibidi wamwandikie majibu sahihi.
-Bei ya mafuta hapa Tanzania imekuwa kubwa, kutokana kodi 23, zinazotozwa na wadau mbalimbali wa sekta hii.
-Serikali isitishe baadhi ya kodi katika kipindi hiki cha mpito, vinginevyo maisha ya wapiga kura wao yanaathirika Sana.

Ushauri

-Serikali ilinganishe bei ya mafuta na nchi zinazoendelea, hususani majirani zetu, Zambia, Malawi, Kenya,Uganda, Burundi, Rwanda na Msumbiji.
-Majirani zetu wako sawa na siye kama wenzetu kuna unafuu wanafanyaje.
 
Alichosema Samia kwanza sio ukweli.

Kapita barabarani Washington DC akaona vibao vya bei ya mafuta dola 4.20. Ambayo ni 9,600/=, akalinganisha na yetu 3,150/=

Samia hakujua kwamba hiyo ni bei ya galoni, mafuta Marekani wanauza kwa galoni

Na pia Samia hajui galoni moja inalingana na lita ngapi, hajui!

Kama Marekani wangeuziwa kwa lita kama sisi bei yao ingekuwa

$4.2/gallon ÷ 3.8 liters/gallon x 2,300TZS/$ = 2,500 Tsh kwa lita

Samia alinganishe 2,500/= kwa lita Marekani v/s 3,150/= kwa lita Tanzania

Bei ya Marekani is way cheaper!
Na hapo imepanda
 
Tukijilinganisha na beberu tutafilisika
 
Hii nchi ingekuwa wananchi ndio wapiga kura.viongozi wangewaigopa wananchi.wangetafuta njia za kupunguza makali ya bei ya mafuta na mfumuko wa bei.ila iko siku watu watachoka kufanywa wajinga.no longer at easy
 
Huyu mama anaishi maisha mazuri sana hawezi kufikiri juu ya maisha ya wa Tanzania. Apandishe basi bei iwe kama ya wamarekani.
 
Kwa sababu wa Tanzania hatuna asiru ya kuandamana na kupiga kelele tunaonekana kama tulioridhika.
 
Alikua anasema bei ya mafuta hata Marekani ni kubwa na ni kubwa kuliko Tanzania
Ni uwongo mkubwa kudai kuwa US bei ya mafuta ni kubwa kuliko Tanzania.

Samia awe anafanya uchunguzi wake mwenyewe badala ya kumtegemea mtu mwongo, Mwigulu. Marekani bei ya mafuta ni kati ya dola 1.06 na 1.2 tu.
 
Huyu mama anaishi maisha mazuri sana hawezi kufikiri juu ya maisha ya wa Tanzania. Apandishe basi bei iwe kama ya wamarekani.
Bado miaka michache tu mama atakuwa bilionea wa mabilionea huyu mama ni fisadi ubwaaa kabisa anasomba pesa serikalini za kutisha yeye na familia yake
 
Hapa ndio Huwa nawadharau waandishi wa Habari wa Kibongo. Anapewa Jibu kama Hilo Naye anacheka cheka na Kulidhia Kweli kweli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Poor Poor, Wanahabari wetu kudadisi na Kuhoji hawawezi kabisaaaa, Huenda hata Maswali alipangiwa Ya Kuuliza.
Waandishi wengi wa Tanzania, ni watu wenye upeo mdogo sana.
 
Hapana ki bei USA, bei ya mafuta ipo juu, inawezekana kwa bei ya lita moja yao , hapa unapata kama lita 1.5, lakini kwa pato lao la mtu mmoja mmoja, ni nafuu kuliko ya hapa kwetu, hayo ni mambo ya kiuchumi!!huwezi tu ukasema eti mbona bei ya kitu fulani ipo juu zaidi huko kuliko kwetu, bila kuangalia factors nyingine.
Acha hizo, hivi mnashindwa vipi hata tu kugoogle kuangalia bei huko marekani?
Litre 1 Marekani kwa Sasa ni dola 1.21 ambayo ni sawa na 2800
 
Ndo maana watu fulani hivi walisema nchi hii bado sana kuongozwa na MWANAM... Kawasababu wanawaza MIPASHO wakati watu wanauliza maswali magumu na majibu hayapatikani..... Ishu siyo bei kubwa kubwa ila yeye jinsi anayojieleza ni wazi hajui au haelewi anachokieleza...
 
Rais Samia katika kuwajibu wale wanaolalamika kuwa bei ya mafuta ni kubwa sana amesema hiyo bei ni ndogo sana hasa ukilinganisha na bei ya mafuta Marekani.

Rais anasema juzi alikuwa Marekani akakuta bei ya mafuta iko juu sana kuliko Tanzania.

Hayo Rais ameyasema leo hii kwenye kipindi cha mahojiano na Tido Mhando.

Juzi pia Rais akiwa Arusha alisema kuwa watu wanapenda kulalamika umeme ukikatika kidogo tu wakati hata New York umeme unakatika tu hata kuliko Tanzania.

Mapato kwa siku U.S. vs pa to mtanzania kwa siku, halafu uweke ni % ya bei ya Petrol au Diesel kwa Tz na pia kwa USA ndio utaona urahisi ni wapi
 
Rais Samia katika kuwajibu wale wanaolalamika kuwa bei ya mafuta ni kubwa sana amesema hiyo bei ni ndogo sana hasa ukilinganisha na bei ya mafuta Marekani.

Rais anasema juzi alikuwa Marekani akakuta bei ya mafuta iko juu sana kuliko Tanzania.

Hayo Rais ameyasema leo hii kwenye kipindi cha mahojiano na Tido Mhando.

Juzi pia Rais akiwa Arusha alisema kuwa watu wanapenda kulalamika umeme ukikatika kidogo tu wakati hata New York umeme unakatika tu hata kuliko Tanzania.

Je mshahara kima cha chini marekani kwa masaa 8 sh. Ngapi? Kisha tufanye ulinganisho
 
Ukweli ni kwamba bei za mafuta huko USA ni dola 1.210 wakati Tanzania ikiwa ni dola 1.354.

Je, wapi pana unafuu? Je, kipato kinalingana? Vipi kuhusu 'purchasing power' ya nchi hizi? Je, kima cha chini kinalingana?

KUWENI 'SERIOUS' WALAU MARA MOJA.

Back
Top Bottom