Rais Samia: Bei ya mafuta Tanzania ni rahisi kuliko Marekani

Mama hajakosea mnaropoka bure tu!! Bei ya Petrol USA iko juu!! kulinganisha na gharama za maisha yao huko!! hata wafanyakazi wa huko wakipokea Billlion moja kila mwezi!! lkn kuna mahesabu ya kiuchumi unafanya unapata hiyo Hesabu!!!

Msiseme hovyo km watu hamjaenda shule!...... USA unapokea let say $5000,000/ kwa mwezi utakuta saving yako ni sifuri!!! yooote imeishia kwa chakula na Nauri!! Mtanzania anapokea laki tano tu lkn savings yake ni zaidi ya Nusu ya Mshahara!!

kulingana na maisha ya Bongo hapo Mtanzania atajenga Nyumba yake nzuri tu!! ataishi na familia!! lkn huyu mfanya kazi wa USA ata ishia kula tuuu!! mpaka anakufa!!! ndo tofauti iliyopo tukiwaaambia muelewega!
 
Bei ya ugali nyama Masaki 6000 na Tandale kwa mtogole 6000.
 
Angalia mfano huu mkuu.
Kibarua ujenzi siku nzima masaa 10, malipo 10000.
Mbeba box USA kwa saa dola 7 sawa na 17000 akifanya masaa 10 sawa na 170000.
Wakienda kununua mafuta kwa bei za nchi zao nani atanunua lita nyingi?
 
Rais Samia katika kuwajibu wale wanaolalamika kuwa bei ya mafuta ni kubwa sana amesema hiyo bei ni ndogo sana hasa ukilinganisha na bei ya mafuta Marekani.

Rais anasema juzi alikuwa Marekani akakuta bei ya mafuta iko juu sana kuliko Tanzania.

Hayo Rais ameyasema leo hii kwenye kipindi cha mahojiano na Tido Mhando.

Juzi pia Rais akiwa Arusha alisema kuwa watu wanapenda kulalamika umeme ukikatika kidogo tu wakati hata New York umeme unakatika tu hata kuliko Tanzania.

hayo ndo mawazo finyu ya wanaccm unawezaje kulinganisha tz na marekani?
 
Si Rais Mfu aliwaambia Bongo ni Donor country?? mkapiga makofi sasa km ni ivo Mama hajakosea...anatukuza fikra na maoni ya Mwenda zake!! Mna mshambulia hivi nyie weusi mliwahi rogwa na nani? au....ngoja
 
Cost of Petrol in TZ today:

1 Litre of Petrol

1.Total cost CIF to Dar port 1,162
2. Wharfage 20.5
3. Railway devl levy 19.4
5. Customs processing fee 6.0
5. Weights & measures fee 5.6
6. TBS charge 10.0
7. TASAC fee 8.7
8. EWURA fee 9.0
9. Fuel making 16.0
10. Demurrage costs 8.0
11. Surveyors cost 8.00
12. Financial cost 17.0
13. Evaporation losses 6.5
14. Fuel levy 513.00
15. Excise duty 479.0
16. Petroleum fee 180.0
17. Oil marketing companies 163.0
18. Charges to executive agencies 6.0
19. Service levy to LGA 6.7
20. Retailers margin (profit) 210.5
21. Transport charges (local) 50.5

Total Levy 1,743.4
Plus TC 1,162

Total cost 2,905.4 @Wabunge wetu,huo mzigo wa 1,743.4 yote mlaji wa mwisho,Wananchi wenu wanakwenda kulipa kwa kila lita moja ya mafuta,yaani kodi ni kubwa kuliko bei halisi ya mafuta[emoji1787] Tanzania yaanguu..!
 
Mama hajakosea mnaropoka bure tu!! Bei ya Petrol USA iko juu!! kulinganisha na gharama za maisha yao huko!! hata wafanyakazi wa huko wakipokea Billlion moja kila mwezi!! lkn kuna mahesabu ya kiuchumi unafanya unapata hiyo Hesabu!!!

Msiseme hovyo km watu hamjaenda shule!...... USA unapokea let say $5000,000/ kwa mwezi utakuta saving yako ni sifuri!!! yooote imeishia kwa chakula na Nauri!! Mtanzania anapokea laki tano tu lkn savings yake ni zaidi ya Nusu ya Mshahara!!

kulingana na maisha ya Bongo hapo Mtanzania atajenga Nyumba yake nzuri tu!! ataishi na familia!! lkn huyu mfanya kazi wa USA ata ishia kula tuuu!! mpaka anakufa!!! ndo tofauti iliyopo tukiwaaambia muelewega!
Mtu aki like hii comment yako unitag nimfuatilie nione kwenye post zake anaandikaganini.
 
Cost of Petrol in TZ today:

1 Litre of Petrol

1.Total cost CIF to Dar port 1,162
2. Wharfage 20.5
3. Railway devl levy 19.4
5. Customs processing fee 6.0
5. Weights & measures fee 5.6
6. TBS charge 10.0
7. TASAC fee 8.7
8. EWURA fee 9.0
9. Fuel making 16.0
10. Demurrage costs 8.0
11. Surveyors cost 8.00
12. Financial cost 17.0
13. Evaporation losses 6.5
14. Fuel levy 513.00
15. Excise duty 479.0
16. Petroleum fee 180.0
17. Oil marketing companies 163.0
18. Charges to executive agencies 6.0
19. Service levy to LGA 6.7
20. Retailers margin (profit) 210.5
21. Transport charges (local) 50.5

Total Levy 1,743.4
Plus TC 1,162

Total cost 2,905.4 @Wabunge wetu,huo mzigo wa 1,743.4 yote mlaji wa mwisho,Wananchi wenu wanakwenda kulipa kwa kila lita moja ya mafuta,yaani kodi ni kubwa kuliko bei halisi ya mafuta[emoji1787] Tanzania yaanguu..!
😳 dah
 
Mama hajakosea mnaropoka bure tu!! Bei ya Petrol USA iko juu!! kulinganisha na gharama za maisha yao huko!! hata wafanyakazi wa huko wakipokea Billlion moja kila mwezi!! lkn kuna mahesabu ya kiuchumi unafanya unapata hiyo Hesabu!!!

Msiseme hovyo km watu hamjaenda shule!...... USA unapokea let say $5000,000/ kwa mwezi utakuta saving yako ni sifuri!!! yooote imeishia kwa chakula na Nauri!! Mtanzania anapokea laki tano tu lkn savings yake ni zaidi ya Nusu ya Mshahara!!

kulingana na maisha ya Bongo hapo Mtanzania atajenga Nyumba yake nzuri tu!! ataishi na familia!! lkn huyu mfanya kazi wa USA ata ishia kula tuuu!! mpaka anakufa!!! ndo tofauti iliyopo tukiwaaambia muelewega!
Rudi shule, au kadai urudishiwe ada yako shuleni ulikosoma. Au umesoma skuli!
 
Angalia mfano huu mkuu.
Kibarua ujenzi siku nzima masaa 10, malipo 10000.
Mbeba box USA kwa saa dola 7 sawa na 17000 akifanya masaa 10 sawa na 170000.
Wakienda kununua mafuta kwa bei za nchi zao nani atanunua lita nyingi?
Minimum wage sasa katika majimbo mengi ni kati ya dola 11- 15 kwa saa
 
.... USA unapokea let say $5000,000/ kwa mwezi utakuta saving yako ni sifuri!!! yooote imeishia kwa chakula na Nauri!! Mtanzania anapokea laki tano tu lkn savings yake ni zaidi ya Nusu ya Mshahara!!

Uko vizuri sana upstairs mkuu [emoji122][emoji122][emoji122]
 
Alichosema Samia kwanza sio ukweli.

Kapita barabarani Washington DC akaona vibao vya bei ya mafuta dola 4.20. Ambayo ni 9,600/=, akalinganisha na yetu 3,150/=

Samia hakujua kwamba hiyo ni bei ya galoni, mafuta Marekani wanauza kwa galoni

Na pia Samia hajui galoni moja inalingana na lita ngapi, hajui!

Kama Marekani wangeuziwa kwa lita kama sisi bei yao ingekuwa

$4.2/gallon ÷ 3.8 liters/gallon x 2,300TZS/$ = 2,500 Tsh kwa lita

Samia alinganishe 2,500/= kwa lita Marekani v/s 3,150/= kwa lita Tanzania

Bei ya Marekani is way cheaper!
Marekani kuna states nyingi hiyo ni average bei states zingine iko juu
 
Rais Samia katika kuwajibu wale wanaolalamika kuwa bei ya mafuta ni kubwa sana amesema hiyo bei ni ndogo sana hasa ukilinganisha na bei ya mafuta Marekani.

Rais anasema juzi alikuwa Marekani akakuta bei ya mafuta iko juu sana kuliko Tanzania.

Hayo Rais ameyasema leo hii kwenye kipindi cha mahojiano na Tido Mhando.

Juzi pia Rais akiwa Arusha alisema kuwa watu wanapenda kulalamika umeme ukikatika kidogo tu wakati hata New York umeme unakatika tu hata kuliko Tanzania.

Rais wa TZ kaongopa mchana.

Raisi SSH hakusema ukweli aliposema bei ya mafuta ya USA ni juu kuliko TZ na hata kama bei ingekuwa sawa huwezi kulinganisha uwezo wa kununua petroli kwa bei ya juu na ule wa Watanzania.
Bei ya mafuta USA ni karibia shillingi 2,000 kwa lita. Kabla ya hapo ilikuwa kama shillingi 1300 kwa lita. Lakini hapa tunaongelea bei ya soko ambayo hubadilika, lakini TZ tunaongelea bei ambayo mara nyingi ikipanda imepanda na haitashuka tena. Pia tunaongelea watu wenye uwezo wa tofauti na bei ikipanda mtanzania anaumia zaidi kwa sababu kipato chake uki;linganisha na Mmarekani kiko chini kabisa. Kwa mfano, mshara wa Assitant Professor USA ni karibu $6,000 kwa mwezi. Mshara wa Asstant Professor Tanzania labda ni $1,500. Bei ya mafuta ikipanda Assitany Prof wa TZ ataumia zaidi kuliko wa Marekani. Kima cha chini USA sehemu nyingi ni $15 kwa saa ($600/wiki au $2500/mwezi). Sasa hivi kima cha chini TZ huenda ni laki tatu. Hii ina maana bei ya kitu chochote ikipande TZ itamdhuru mfanya kazi wa kima cha chini TZ kuliko USA.
Tamko la raisi SSH kukatika umeme USA ni kweli umeme unakatika USA hasa wakati wa matukio ya majanga ya hali ya hewa kama tornado, mafuriko na upepo mkali. Na likitokea hili kila mtu huadhirika sehemu husika, ila USA hakuna kitu kama mgao wa umeme ambapo wenyenazo hupata umeme muda wote wakati wengine wako gizani. Mimi niliwahi kuwa huko USA na nilikaa zaidi ya miaka 10 bila umeme kukatika. Ila iliwahi kutokea kimbunga ambacho mji mzima ulikumbwa na giza. Ilichukuwa zaidi ya siku nne kurejesha umeme tena. Lakini hata hivyo raisi hatakiwa kusema umeme unakatika USA, kwa hiyo kukatika kwetu si ajabu. You cannot justify your failures, weaknesses, or problems on account of other peoples' failrues. Hii ni sawa na kuwaambia watoto wako, mnalalamiki nini kulala njaa wakati hata watoto wa jirani wanalala njaa. Wewe ndiyo raisi wetu, matatizo yetu tunaleta kwako, ya Marekani yanatuhusu nini sisi, wakati maisha yetu hayafikii robo ya maisha ya Maarekani, ambapo raia wa wasiyo na kazi wanapewa pesa na serkali kukidhi shida zao.
 
Bei za mafuta kwa lita duniani kote ziko hapo. Mama aliteleza!
 
Uko vizuri sana upstairs mkuu [emoji122][emoji122][emoji122]
Smaki Said, hivi kweli unaandika ukiwa na uhakika au unaburudisha forum! Raisi wa USA anapokea US400,000 kwa mwaka. Majaji wa supreme court wanapata $250,000 kwa mwaka. Huyo anayepokea $500,000 kwa mwezi na hana chochote benki, eti hela yte anatumia kwa chakula na mambo mengine ulimuona wapi. Na Mtanzania apataye laki tatu au tano na nusu yake anaweka benki naye ulimuona wapi? Huyu atakuwa jizi la kutupa.
 
Back
Top Bottom