Rais Samia: Bei ya mafuta Tanzania ni rahisi kuliko Marekani

Rais Samia: Bei ya mafuta Tanzania ni rahisi kuliko Marekani

Cost of Petrol in TZ today:

1 Litre of Petrol

1.Total cost CIF to Dar port 1,162
2. Wharfage 20.5
3. Railway devl levy 19.4
5. Customs processing fee 6.0
5. Weights & measures fee 5.6
6. TBS charge 10.0
7. TASAC fee 8.7
8. EWURA fee 9.0
9. Fuel making 16.0
10. Demurrage costs 8.0
11. Surveyors cost 8.00
12. Financial cost 17.0
13. Evaporation losses 6.5
14. Fuel levy 513.00
15. Excise duty 479.0
16. Petroleum fee 180.0
17. Oil marketing companies 163.0
18. Charges to executive agencies 6.0
19. Service levy to LGA 6.7
20. Retailers margin (profit) 210.5
21. Transport charges (local) 50.5

Total Levy 1,743.4
Plus TC 1,162

Total cost 2,905.4 @Wabunge wetu,huo mzigo wa 1,743.4 yote mlaji wa mwisho,Wananchi wenu wanakwenda kulipa kwa kila lita moja ya mafuta,yaani kodi ni kubwa kuliko bei halisi ya mafuta[emoji1787] Tanzania yaanguu..!
Hata gari nayo ukiagiza kodi ni kubwa kuliko bei ya gari!

Yani sekikali ya tz inapata faida kubwa kwenye gari kuliko mtengenezaji
 
Of course ni magumu ukiacha kwenye upatikanaji wa huduma za afya ila kwenye chakula na malazi tuko vizuri kuliko wao.
Ukweli ni kuwa kwenye chakula hatuko vizuri kuliko Mmarekani. Ila Mmarekani kwa pesa anayolipwa akija kwetu ataishi kwa raha. Purchasing power ndicho kitu cha kuangalia. Huwezi kulinganisha purchasing power ya $205 (Mtanzania na purchasing power ya mwenye ya $2500 (Mmarekani). Wafanyakazi wa mashirika ya nje/dunia waliyo TZ wanatumbua kwa sababu wanalipwa kwa $$ na huwezi kuwalinganisha na wale wanaopata mshahara kwa shillingi. Ukilipwa kwa sh bei ikipanda au shillingi ikishuka thamani bado unapata mshahara uleule wa laki 5 au millioni 4. Anayelipwa kwa $ thamani ya sh ikishuka, yeye hela yake kwa TZ sh inaongezeka, bei ikipanda inafidfiwa na kushuka kwa thamani ya sh.
 
Mama hajakosea mnaropoka bure tu!! Bei ya Petrol USA iko juu!! kulinganisha na gharama za maisha yao huko!! hata wafanyakazi wa huko wakipokea Billlion moja kila mwezi!! lkn kuna mahesabu ya kiuchumi unafanya unapata hiyo Hesabu!!!

Msiseme hovyo km watu hamjaenda shule!...... USA unapokea let say $5000,000/ kwa mwezi utakuta saving yako ni sifuri!!! yooote imeishia kwa chakula na Nauri!! Mtanzania anapokea laki tano tu lkn savings yake ni zaidi ya Nusu ya Mshahara!!

kulingana na maisha ya Bongo hapo Mtanzania atajenga Nyumba yake nzuri tu!! ataishi na familia!! lkn huyu mfanya kazi wa USA ata ishia kula tuuu!! mpaka anakufa!!! ndo tofauti iliyopo tukiwaaambia muelewega!
Umewahi kufika Marekani?
 
Nimeisikiliza hii Intvw daah kweli kazi ipo ,hii awamu yaani naiona ndefu, eeh Mungu tusaidie hapa mpaka mwishoni mwa mwaka ngoma itakuwa 4000+ per litre,tukiingia mwakani sitoshangaa kufika 5000+ per litre.

Kweli mwingi unapigwa na sukari inalambwa.
Kabisaa!
Mi-5 tena🙄
 
Na Maisha Marekani Ni Magumu kuliko Tanzania?😆
income per capita, marekani mtu analipwa USD1000 kwa wiki, hatuwezi kujilinganisha nao hata kidogo. kuna nchi mafuta kwa lita ni TZS 5035 kama israel , lakini kuna nchi mafuta hayahaya ni TZS51 kama venezuela. hivyo si vyema kujilinganisha hivyo tutafute tu suluhu sisi wenyewe hapa nchini kwetu
 
Basi bado tupo juu, Misenyi 1ltr ni Tshs 3,372.
Sasa hapo linganisha kwamba us ndio #1 producer na sisi hatuproduce chochote.

Labda alivyo sema raisi "bei iko juu" hakusema in what context
 
Kujilinganisha na marekani..tupo vizuri sana.😃
 
Uko vizuri sana upstairs mkuu [emoji122][emoji122][emoji122]
Usimsifie mkuu, kamwe huwezi kupokea laki 5 kwa mwezi ukasave nusu ya hiyo hela. Labda uwe kijijini huko ambako chumba ni 10000 na uwe Bachelor. Utasema mbona mlinzi analipwa laki na nusu na anaishi. Hao wana madeal mengi usikuu wanadaka buku buku za Dada poa short time. Ghorofa yako usiku inakuwa guest na mengine mengi
 
Usimsifie mkuu, kamwe huwezi kupokea laki 5 kwa mwezi ukasave nusu ya hiyo hela. Labda uwe kijijini huko ambako chumba ni 10000 na uwe Bachelor. Utasema mbona mlinzi analipwa laki na nusu na anaishi. Hao wana madeal mengi usikuu wanadaka buku buku za Dada poa short time. Ghorofa yako usiku inakuwa guest na mengine mengi
Obviously I was being sarcastic, sir!

Ni tashtiti!
 
Back
Top Bottom