Rais Samia: Bei ya mafuta Tanzania ni rahisi kuliko Marekani

Hata gari nayo ukiagiza kodi ni kubwa kuliko bei ya gari!

Yani sekikali ya tz inapata faida kubwa kwenye gari kuliko mtengenezaji
 
Of course ni magumu ukiacha kwenye upatikanaji wa huduma za afya ila kwenye chakula na malazi tuko vizuri kuliko wao.
Ukweli ni kuwa kwenye chakula hatuko vizuri kuliko Mmarekani. Ila Mmarekani kwa pesa anayolipwa akija kwetu ataishi kwa raha. Purchasing power ndicho kitu cha kuangalia. Huwezi kulinganisha purchasing power ya $205 (Mtanzania na purchasing power ya mwenye ya $2500 (Mmarekani). Wafanyakazi wa mashirika ya nje/dunia waliyo TZ wanatumbua kwa sababu wanalipwa kwa $$ na huwezi kuwalinganisha na wale wanaopata mshahara kwa shillingi. Ukilipwa kwa sh bei ikipanda au shillingi ikishuka thamani bado unapata mshahara uleule wa laki 5 au millioni 4. Anayelipwa kwa $ thamani ya sh ikishuka, yeye hela yake kwa TZ sh inaongezeka, bei ikipanda inafidfiwa na kushuka kwa thamani ya sh.
 
Umewahi kufika Marekani?
 
Ikirudi bei ya zamani 700 or 1500 per lita itapendeza sana
 
Kabisaa!
Mi-5 tenaπŸ™„
 
Na Maisha Marekani Ni Magumu kuliko Tanzania?πŸ˜†
income per capita, marekani mtu analipwa USD1000 kwa wiki, hatuwezi kujilinganisha nao hata kidogo. kuna nchi mafuta kwa lita ni TZS 5035 kama israel , lakini kuna nchi mafuta hayahaya ni TZS51 kama venezuela. hivyo si vyema kujilinganisha hivyo tutafute tu suluhu sisi wenyewe hapa nchini kwetu
 
Basi bado tupo juu, Misenyi 1ltr ni Tshs 3,372.
Sasa hapo linganisha kwamba us ndio #1 producer na sisi hatuproduce chochote.

Labda alivyo sema raisi "bei iko juu" hakusema in what context
 
Kujilinganisha na marekani..tupo vizuri sana.πŸ˜ƒ
 
Uko vizuri sana upstairs mkuu [emoji122][emoji122][emoji122]
Usimsifie mkuu, kamwe huwezi kupokea laki 5 kwa mwezi ukasave nusu ya hiyo hela. Labda uwe kijijini huko ambako chumba ni 10000 na uwe Bachelor. Utasema mbona mlinzi analipwa laki na nusu na anaishi. Hao wana madeal mengi usikuu wanadaka buku buku za Dada poa short time. Ghorofa yako usiku inakuwa guest na mengine mengi
 
Obviously I was being sarcastic, sir!

Ni tashtiti!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…