Nazgur
JF-Expert Member
- Apr 19, 2020
- 3,729
- 2,851
N
Nadhani atakua amesahau hao wamalekani wananunua kwa galoni sasa inawezekana akiona bei ya galoni akafikili ni ya lita.
Wakati wa corona walikua na bei isiyozidi 450 hadi mia tano kwa lita sasa leo hata ikipanda haiwezi kufika au kuzidi 1000 kwa lita.
Sasa inaonekana aliona inayolingana na elfu nne akadhani ni ni kwa lita moja kumbe ni galoni ya lita 5
Rais Samia katika kuwajibu wale wanaolalamika kuwa bei ya mafuta ni kubwa sana amesema hiyo bei ni ndogo sana hasa ukilinganisha na bei ya mafuta Marekani.
Rais anasema juzi alikuwa Marekani akakuta bei ya mafuta iko juu sana kuliko Tanzania.
Hayo Rais ameyasema leo hii kwenye kipindi cha mahojiano na Tido Mhando.
Juzi pia Rais akiwa Arusha alisema kuwa watu wanapenda kulalamika umeme ukikatika kidogo tu wakati hata New York umeme unakatika tu hata kuliko Tanzania.