ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa mkoani Morogoro katika uzinduzi wa bwawa la mradi wa upanuzi wa kiwanda cha Mtibwa sugar Ltd amesema Serikali itahakikisha kuwa wananchi wanapata sukari kwa bei nafuu na kulinda viwanda vya ndani kutokana na uwekezaji uliofanyika.
Serikali inavyosimama upande wa wananchi katika kuhakikisha wanapata sukari kwa bei himilivu, ni kwa msingi wa kulinda uwekezaji wa viwanda lakini lazima tulinde wananchi, hatuna shari na viwanda. Ukipandisha sukari hapa leo generation Z wataingia barabarani" - Rais Samia.
Soma pia: Baadhi ya mambo yaliyotokea kwa kusababishwa na Maandamano ya GEN Z Kenya