Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata wakiiba kura 2025 tutaandamana
Au fungia Simba na YangaUkitaka upate reaction ya Gen z ya bongo fungia visungura shisha vigodoro benibati vigoma vya uruguay na mchanganyo utumbo ndizii ef3 baasi utawakuta barabarani si vinginevyo
Sidhani kama upo sahihi kwenye suala hili.My Take
Raha ya Rais Samia ni usikivu.
Kama wewe hapoHakuna GenZ Tanzania, huku Tanzania Kuna Machawa tu ndiyo wamejaa
Bashe lazima ataingia Mahakamani au skendo ya Sukari kumfuata hata ndani ya CCMDuh....bado watu mnahangaika na sukari tu
Ova
Nikiwa na wewe Msaidizi wangu ambaye ni wewe 🤗Kama wewe hapo
Saizi wamejaza uwanja wa Simba huko 🤣🤣GenZ wanaweza kuandamana ikiwa yanga na simba hazijakizi mahitaji yao
Bei ya Mafuta imefanyaje?Kaona hayo ya sukari tu?
Hajaona bei za mafuta?
Hajaona tozo
Saizi wamejaza uwanja wa Simba huko 🤣🤣
Mbona Chadema na Mwambukusi wapo?Gen Z Tanzania wako wapi?
Kwani hao Gen Z wa TZ wana Uchumi wa kunywa bia????Generation Z ya Bongo itaingia barabarani kama bei ya bia Zikipanda maradufu tu...
Na kisukari.Wewe unahangaika nini?