Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa mkoani Morogoro katika uzinduzi wa bwawa la mradi wa upanuzi wa kiwanda cha Mtibwa sugar Ltd amesema Serikali itahakikisha kuwa wananchi wanapata sukari kwa bei nafuu na kulinda viwanda vya ndani kutokana na uwekezaji uliofanyika.
Serikali inavyosimama upande wa wananchi katika kuhakikisha wanapata sukari kwa bei himilivu, ni kwa msingi wa kulinda uwekezaji wa viwanda lakini lazima tulinde wananchi, hatuna shari na viwanda. Ukipandisha sukari hapa leo generation Z wataingia barabarani" - Rais Samia.
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa mkoani Morogoro katika uzinduzi wa bwawa la mradi wa upanuzi wa kiwanda cha Mtibwa sugar Ltd amesema serikali itahakikisha kuwa wananchi wanapata sukari kwa bei nafuu na kulinda viwanda vya ndani kutokana na uwekezaji uliofanyika.

Usijisahaulishe mkuu, umeshasahau ni juzi tu mh Mpina kafungua cases juu ya waziri Badhe na baadhi ya kampuni waliopewa tender ya kuagiza sukari kinyume na utaratibu?
Ukitaka upate reaction ya Gen z ya bongo fungia visungura shisha vigodoro benibati vigoma vya uruguay na mchanganyo utumbo ndizii ef3 baasi utawakuta barabarani si vinginevyo