Pre GE2025 Rais Samia: Bei ya Sukari Ikiwa Juu Gen Z Wataingia Barabarani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Samahani Rais wangu. Kweli hayo yanatoka rohoni?
 
Na ndio maana Bashe alipambana na genge la Mpina lolilotaka kutengeneza uhaba wa sukari, na bado anajenga maghala kuhifadhi chakula.

Yaani awamu ya Samia ni kula kujigalagaza
 
uyu ni moja marais wenye mifano ya ovyo kwenye hotuba zao
 
Kuna mijitu michawa...πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kwani hao Gen Z wa TZ wana Uchumi wa kunywa bia????
Watafanya chochote ilimradi wanywe ulabu....wataiba,watadanga,watakuwa viben ten,watashkishwa hadi ukuta....Lakini ilimradi Ijumaa aonekane anakunywa...
 
Huyo mama aache unafiki Tanzania hakuna Gen Z na sidhani Kama watatokea. Aache kujifananisha na nchi zinazojitambua.
 
Kenyatta Sr, aliwahi kusema Tanzania kuna maiti na sio binadamu
 
 
anawabeep naona, au anataka wampigie. Sema vijana wenyewe hawawezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…