Rais Samia: BoT wajiandae kuruhusu Crypto-Currency

Rais Samia: BoT wajiandae kuruhusu Crypto-Currency

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Posts
23,683
Reaction score
55,898
Rais Samia Suluhu Hassan hataki Sheria za nchi ziwe kikwazo kwa watanzania kutumia Sarafu za Kimtandao. Ameyasema haya leo wakati anazindua jengo la BoT Tawi la Mwanza.

Hivyo ameitaka BoT kuandaa mazingira ya kisheria na taratibu nyingine ya wananchi kutumia Sarafu za Kimtandao:- mfano Crypto-Currency na Bitcoin.

SOMA PIA:

1) BoT yazuia matumizi ya pesa ya kidigitali (Cryptocurrency)

2) BoT yawaonya wanaojihusisha na fedha za kimtandao, yakana kuhusika nazo

3) Gavana wa BoT, Benno Ndulu: Watanzania wanatakiwa kuwa makini na hatari inayoambatana na fedha za kidigitali
 
Mama asikimbilie hayo mambo, bado machanga sana na bado yako volatile sana. Nchi nyingi zilizoendelea bado hazijaruhusu hizo currency so hakuna haja ya kukimbilia.

Bitcoin yule jamaa wa Tesla Elon akiongea vibaya inaporomoka thamani, akiongea vizuri inapanda thamani, sasa currency gani iko weak namna hiyo inategemea kauli za wavuta bangi kama wale😂?
 
Back
Top Bottom